Yuko wapi mtangazaji Sam Misago?

alijiongeza, inasemekana pale ukienda nao tofauti tu ni shida, na ndio yaliotokea kwa Mafuvu, but Online chanel yake inafanya vizuri
Hakuna tatizo hapo. Yote ni maisha ya kutafuta. Unataka kusema Zembwela naye kaondoka kwa ubaya? Ukipata sehemu nyingine inayokulipa na mwajiri wako wa sasa umemwambia kusudio lako lakuondoka kama hawezi kufika ile offer ya upande wa pili unaondoka tu kistaarabu. Hapo hakuna tatizo ni maslahi tu.
 
Hivi wasafi wanawazidi mapato EATV na CLOUDS
Inwezekana hawana mapato makubwa kuwazidi EATv lakini strategy yao ya kuchukua majina makubwa kwenye industry inawaaminisha kuwa watakuja kuinua redio na mapato yao huko mbele ya safari kwa haraka zaidi kuliko kuanza na watangazaji ambao hawana majina. Hawa wenye majina tayari wana ushawishi kutokana na fan base yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom