Dully Sykes-DHAHABU /Joselini v/s mr blue

MNYWABUJU

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
260
327
habali wanajukwaa, twende katika mada,

Katika nyimbo ya Dhahabu ya dully Sykes ambayo aliwashilikisha wakali wawili @joselini na @mrblue ,ambao kipindi iko kulikuwa na tarifa walikuwa awahivi chungu kimoja ,je ni nani ALIMFUNIKA mwenzake?
asanten
 
U-lonely tena bye, mi nafurahi
Niko stimu za mjani, kichwani niko high
Namuona manzi maskani, yuko so fly
Mi nawahi, najigeuza Dully namfuata nampa hi
Nimeshaini kama Mully, kadata mtoto hakatai
(Heheh heheh)
Anang'aa kama gold (yeah, yeah)
Yeah, yeah, yeo-yeoh yeoh, yeo-yeoh
Anaita kama bling thing
Kama dhahabu, amefika kwa king
Queen wa Kheri Rajabu
Anakila sababu, asipate tabu
Nimezimika ajabu (sana tu)
Heheh
Yeoh, hapendi pesa, hapendi show
Ye anampenda Blue
Washamteta hasemi no
Ye anaona fool
Ndo mama Kabyser ajulikana mpaka kwetu
Steve unataka kumjua?
Master J twenzetu
 
Mara ya kwanza nilikutana naye kitaani
Nikampa hi huku akinishika shavuni
I'm a Josline a.k.a mpendwa na watu
Kwasababu mi na-flow style zaidi ya tatu
Yeah kashtuka kanifagilia
Hakuamini kama "Perfume" niliwaimbia
Mshkaji mmoja hivi ndo uliofuatia
Mara akatikisa kichwa kifuani akaegemia
Ghafla akaanza kulia
Huku akinishika kwa hisia
Wasiwasi ukanijia, kumuona demu anan'lilia
Anadai anazimika navyo-flow
Namgusa mpaka mwisho, yaani namweka full, yeah
Hisia zangu kwenye muziki zinachoma
Ndo sababu kubwa iliyomfanya anipende sana
Mtoto mzuri ukimwona utampa heshima
Mi namuita dhahabu ndani ya kariakoo nzima
 
Mara ya kwanza nilikutana naye kitaani
Nikampa hi huku akinishika shavuni
I'm a Josline a.k.a mpendwa na watu
Kwasababu mi na-flow style zaidi ya tatu
Yeah kashtuka kanifagilia
Hakuamini kama "Perfume" niliwaimbia
Mshkaji mmoja hivi ndo uliofuatia
Mara akatikisa kichwa kifuani akaegemia
Ghafla akaanza kulia
Huku akinishika kwa hisia
Wasiwasi ukanijia, kumuona demu anan'lilia
Anadai anazimika navyo-flow
Namgusa mpaka mwisho, yaani namweka full, yeah
Hisia zangu kwenye muziki zinachoma
Ndo sababu kubwa iliyomfanya anipende sana
Mtoto mzuri ukimwona utampa heshima
Mi namuita dhahabu ndani ya kariakoo nzima
Daah Joslin huyu jamaa ana mtindo fulan hivi matata sana anapo flow.
Mr blue aliweka mbwembe nyingi mnoo.
Ila ilikuwa ngoma kali Sana.
Dully humu mimi naona alifunikwa japo alijitahidi sana.

Ila yote tuseme lakini baba lao ilikuwa ni ile beat yake daah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom