Tukumbushe wasanii,waigizaji,wachezaji waliofariki wakiwa katika kazi zao za sanaa

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
4,503
2,000
Kwa upande wangu nawakumbuka
1. Marc vivan foe..huyu ni mchezaji wa timu ya cameroon ambaye alifia uwanjan

2. Papa wemba alifia stejin akiwa anatumbuiza

3. Blondon lee huyu alifariki wakati wanashoot movie.ni mdogo wa blue lee

3. Kuna bend nimeisahau jina ilikuwa ina paform katika meli ya titanic.mpaka meli inazama inasemekana walikuwa bado wanapafom

Wewe unakumbuka watu gani..tufahamishane wadau
 
APEFACE

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
3,802
2,000
Kwa upande wangu nawakumbuka
Marc vivan foe..huyu ni mchezaji wa timu ya cameroon ambaye alifia uwanjan

2.papa wemba alifia stejin akiwa anatumbuiza

3.blondon lee huyu alifariki wakati wanashoot movie.ni mdogo wa blue lee=Bruce Lee

3.kuna bend nimeisahau jina ilikuwa inapaform katika meli ya titanic.mpaka meli inazama inasemekana walikuwa bado wanapafom

Wewe unakumbuka watu gani..tufahamishane wadau
 
Mussolin5

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,448
2,000
Kwa upande wangu nawakumbuka
1. Marc vivan foe..huyu ni mchezaji wa timu ya cameroon ambaye alifia uwanjan

2. Papa wemba alifia stejin akiwa anatumbuiza

3. Blondon lee huyu alifariki wakati wanashoot movie.ni mdogo wa blue lee

3. Kuna bend nimeisahau jina ilikuwa ina paform katika meli ya titanic.mpaka meli inazama inasemekana walikuwa bado wanapafom

Wewe unakumbuka watu gani..tufahamishane wadau
Brandon Lee hakuwa mdogo wa Bruce Lee bali alikuwa Mtoto wa Bruce Lee.

Miriam Makeba pia alifia jukwaani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom