Maisha ya Ommy Dimpoz yalivyobadilika baada ya surgery

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,098
12,472
Habari zenu wakuu,

Tukiwa kwenye vugu vugu la uchaguzi mkuu na campaign za vyama mbali mbali na mapambano bado yanaendelea ya kutafuta kijio Cha kila siku.

Nimebahatika kusikiliza interview ya salama na Seven Mosha (aliyekuwa manager wa Ali Kiba) moja Kati ya Mambo aliyozungumza ni hali aliyo kuwa naye OMY DIMPOZ wakati wa surgery na baada ya surgery.

Seven anasema anashukuru Mungu mpaka Ssasa OMY DIMPOZ kuwa hai maana kipindi chote wakati anamuuguza alikuwa na hali mbaya kwa takriban week moja baada ya surgery ilikuwa hawezi lolote na kama anataka kitu anampa karatasi na kalamu aandike hawezi kula na kwa kipindi chote ilikuwa anatumia juice au maji tena kwa kiwango kidogo Sana.

Seven anasema OMY alikuwa na tatizo katika mfumo wa chakula na upumuaji ( oesophogus), ambapo upumuaji wake ulikuwa wa shida sana wakampeleka Kenya kwa check-up lakini ikashindikana ikabidi wampeleke South Africa kwa More check-up ambapo baada ya vipimo na surgery wali replace oesophogus na kupandikiza nyingine na waka block Ile ya Kwanza baada ya heavy surgery wakaruhusiwa kuondoka baada ya muda Ila wakapewa tarehe ya kurudi mara kwa mara kwa ajili ya check-up na waliporudi waliambiwa Ile old oesophogus imeziba kutokana na uchafu na inatakiwa surgery nyingine ambapo doctor husika alikataa kufanya for second time

Baada ya Doctor kukataa kufanya second surgery ikabidi Seven awasiliane na GAVANA JOHO wa Kenya wakampleka Germany ila madaktari waliweza ku-deal na tatizo bila second surgery Ila mpaka sasa hivi mfumo wa kula na aina ya vyakula umebadilika sana kwa msanii huyo na anaishi kwa wasi wasi sana na kula kwa shida kwani amekuwa muoga toka kupata majanga hayo.

N:B- Maisha ni mafupi sana na lolote linaweza kumpata mtu yeyote tuishi kwa amani na upendo siku zote
 
Kwani mwenyewe alishawahi kuwaambia kwa nini alipatwa na shida ile?
Sio kila kazi au shughuli ni nzuri kwa Afya
Tuwe waangalifu na maisha yetu
Explain in details please what happens
 
Habari zenu wakuu,

Tukiwa kwenye vugu vugu la uchaguzi mkuu na campaign za vyama mbali mbali na mapambano bado yanaendelea ya kutafuta kijio Cha kila siku.

Nimebahatika kusikiliza interview ya salama na seven mosha (aliyekuwa manager wa Ali kiba) moja Kati ya Mambo aliyozungumza ni hali aliyo kuwa naye OMY DIMPOZ wakati wa surgery na baada ya surgery.

Seven anasema anashukuru mungu mpaka Sasa OMY DIMPOZ kuwa hai maana kipindi chote wakati ana muuguza alikuwa na hali mbaya kwa takribani week moja baada ya surgery ilikuwa hawezi lolote na kama anataka kitu ana mpa karatasi na kalamu aandike hawezi kula na kwa kipindi chote ilikuwa anatumia juice au maji tena kwa kiwango kidogo Sana.

Seven anasema OMY alikuwa na tatizo katika mfumo wa chakula na upumuaji ( oesophogus), ambapo upumuaji wake ulikuwa wa shida Sana Waka mpeleka Kenya kwa check-up lakini ikashindikana ikabidi wampeleke south Africa kwa More check-up ambapo baada ya vipimo na surgery wali replace oesophogus na kupandikiza nyingine na waka block Ile ya Kwanza baada ya heavy surgery Waka ruhusiwa kuondoka baada ya mda Ila wakapewa tar ya kurudi mara kwa mara kwa ajili ya check-up na walipo Rudi waliambiwa Ile old oesophogus imeziba kutokana na uchafu na inatakiwa surgery nyingine ambapo doctor husika alikataa kufanya for second time

Baada ya doctor kukataa kufanya second surgery ikabidi seven awasiliane na GAVANA JOHO wa Kenya wakampleka Germany Ila ma doctor waliweza ku deal na tatizo bila second surgery Ila mpaka Sasa hivi mfumo wa kula na aina ya vyakula umebadilika Sana kwa msanii huyo na anaishi kwa wasi wasi Sana na kula kwa shida kwani amekuwa muoga toka kupata majanga hayo.

N:B- maisha ni mafupi Sana na lolote linaweza kumpata mtu yeyote tuishi kwa amani na upendo siku zote
Mshikaji ukaribu wake na Kiba umeporomoka sana siku hizi...something is wrong
 
Back
Top Bottom