GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Askofu na Mchungaji Gwajima amekuwa moja ya watu maarufu na gumzo kubwa sana nchini. aina hii ya watu wapo duniani kote kwa Dini au Imani zote. Mtu wa namna hii unapoanza naye vita unapaswa kwanza kujichunguza. kuchukua muda mrefu kujichunguza wewe kwanza kabla hujaanza kumchunguza yeye na kuangalia udhaifu wake.
Tumemuona mara kadhaa Gwajima akisimama kuzungumza anachoamini pasipo kuuma uma maneno. Tumwona akimsema Laiyekuwa Rais wa Awamu iliyopita, tulimwona akisema Serikali iyopita kwa Ujasiri na kupelekea kupata matatizo kadhaa. Hakuishia hapo tu. aliwasema hata Viongozi wengine ambao aliamini walikengeuka kwa sababu moja au nyingine pasipo hofu kuwa nao wana jamii kubwa na yenye nguvu nyuma yao. Miaka ya nyuma alikuwepo Mchungaji Mtikila. huyu alikuwa na Roho hii pia miaka hiyo. alizungumza alichoamini pasipo kujali jamii kubwa inayomzunguka ina aamini nini.
Kuna haja ya Kujua Mchungaji Gwajima ni nani? ametokea wapi, ameishi katika mazingira gani, anaamini nini, ana elimu gani na kwa nini anajiamini.
tukifaham historia ya gwajima tutajiuliza ni kwa nini alitajwa kwenye uhusika wa kuuza au kujihusisha na madawa ya kulevya? alijiamini nini kusema kuwa akipimwa hata akikutwa ana kemikali za sigara/tumbaku au pombe iitwe ni madawa ya kulevya? wakati wa kupimwa walikuwepo akina nani?
habari zote kuwahusu viongozi mbalimbali au data zao na ujasili alio nao anaupata wapi? watu wa namna hii huongea yale ambayo wengine hawawezi kuongea. huamini kuwa wao ni chachu katika jamii fulani kwa maana ya kuwa wana mchango mkubwa sana. Ukienda kanisani kwa Gwajiama ana waumini wasomi, wasio na elimu dunia kubwa, walio na elimu dunia kubwa,matajiri na maskini. ukiacha waumini wa kanisani kwake. kuna ambao si waumini wa imani yake ila ni watu wanaoamini msimamo wake. na msimamo wa gwajima ni msimamo wa nyundo. hii ni karba au hulka ya watu ambao wao huamini katika kugonga kila amabcho kitakuwa kimewekwa chini yao. gwajima ni nyundo.
Gwajima huwezi ku dela naye kwa vitisho. unahitaji ku deal naye kwa hekima sana na maarifa. unapomtisha yeye huongeza mapambano. huyu ni aina ya watu ambao unaweza ukadhani ni wadogo sana lakini wana ushawishi fulan katika jamii. penda usipende wapo watu wa namna hii.

- TUSIMPENDE AU KUMCHUKIA Gwajima kwa sababu Alipishana na Askofu Pengo. Kuna ambao wanaendeleza chuki/unazi kutokana na hili. Askofu Pengo ni binadamu kama mimi na wewe ukiniweka mimi na yeye mbele za Mungu tu binadamu wote sawa. Labda ambacho kitamwongezea Credit ya Kupata Zawadi kubwa au Adhabu kubwa ni Je aliokoa au kupotosha wangapi? ila kama alizini atahukumiwa, kama alisema uongo atahukumiwa, kama alikuwa mnafiki atahukumiwa. hivyo hivyo kwa Gwajima. naye akisimamishwa na mimi ataangaliwa Ameokoa au Kupoteza wangapi..
- Tunapomwangalia Gwajima kwa kusema aliwah mtukana Ask Pengo na kuanzia hapo tukamwona hafai kwa sababu "alimtukana" au aliongea alichoamini kuhusiana na Askofu Pengo tunakosea sana. Tuangalie hoja zake peke yake. dini, imani na itikadi zetu zisiathiri jambo hili.
- Swali kuu na neno la Imani katika Mfungo huu wa Kwarezima. JE ANACHONGEA GWAJIMA NI UONGO? THIBITISHA UONGO WAKE/ASHTAKIWE HARAKA KWA KUPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA.