David ngayanimo
Member
- Nov 8, 2018
- 20
- 21
PROFESSOR JAY - SAUTI YA GHETTO
PRODUCER : Q THE DONE
STUDIO : MO RECORDS
Intro:
Aaah
Eeeh bwana eeh..!!
Unapima kisha Unakimbia majibu
Wewe..!!!
Chorus:
Ni Sauti ya Gheto
Kwa Watu Wangu wa gheto
Walio KiGhetto Ghetto
Mpeto Haina Mchecheto
Navumilia Mateso
Najua Ntapata Kesho
..............................................
Leo Butimba Kesho Keko..!!
Verse..1.
Ana kwa ana na Adui wako wa jana/
Mnaulizana Eti Professor anaimba anachana/
Mnabishana Usinionyeshe Meno Tukikutana Si ulinitukana/
Sipo ili niishi Milele Tunaelewana/
Kama siku imefika , imefika haina mdhamana/
Anae kujua ndiye adui Haina kujuana/
Naishi kwa kengele na Adhana ya molana/
Na kama unabana , bana hakikisha unabana Sana/
Unabana unachia , unaomba nife uandike Tanzia/
Basi Utaanza wewe nakwahiyo , inanijua unanisikia/
Najulikana Afrika , Ulaya Pia/
Ni kama hisia Shakespeare /
Tafakari Kwa kina utapataje Usichonacho/
Kufanya kazi kwa nia Au Usiku ukeshe Macho/
Ridhika na upatacho , Tosheka Na Ufanyacho/
Ringia Matunda ya kazi Yako
Ooh...!!!!!!!
Ni sauti ya ghettto
Chorus:
Ni Sauti ya Gheto
Kwa Watu Wangu wa gheto
Walio KiGhetto Ghetto
Mpeto Haina Mchecheto
Navumilia Mateso
Najua Ntapata Kesho
..............................................
Leo Butimba Kesho Keko..!!
Verse..2
Napenda kusahihishwa , na Sio kuliganishwa/
Na Amini kushidanishwa , kamwe sio kugombanishwa/
Bendera inapandishwa , Uonevu unahitimishwa/
Naota Mafanikio , hata nikitishiwa Maisha/
Muda mnaodhani mpo salama , ndio wa hatari/
Ghetto langu Rijali , Nipe Heshima na sio Mali/
Hasara ya Mtu siku zote , ni kukosa Akili/
Eti unakosa Utu Wako , utumikie Mwili/
Sio siri , Walisha sema Wazee wa kiswahili /
Jongoo hawawi kwa wingi wa utilili/
Mnapigana na kivuli Changu , na Bado mnashindwa/
Ina Maina ni juhudu zangu , ndio zinazonilinda/
Mnagawana kilichochangu , kisha mnanichimba /
Bado nipo Imara mithili ya Ngoma ya sidimba/
Ona sasa mnashindwa hata kabala hamjajaribu/
Na mnapima na kisha mnakimbia majibu.....!!
Chorus:
Ni Sauti ya Gheto
Kwa Watu Wangu wa gheto
Walio KiGhetto Ghetto
Mpeto Haina Mchecheto
Navumilia Mateso
Najua Ntapata Kesho
..............................................
Leo Butimba Kesho Keko..!!
Verse 3
Dunia Haichakai vinachakaa vilivyomo/
Nawakilisha Daima na Ukweli Hauna Kikomo/
Siamshi Mliolala tena kwa Usingizi wa porn/
Ni muda wa Tamathali za semi Upate Somo/
Haishangai Haina Shobo Haipandi chati kwa promo/
Haing'aing'ai haina zogo inapata haki kwa Mdomo/
Ni nyumba ya Mo record kinabo Tundika Msolo/
Nakufunza kwa Mdomo Producer Q
Kwa mkono/
Ni mzux ni mziki bila Hooks/
Ni elimu bila books/
Inayofanya Mnaimba Matusi/
Hamshtuki/
Hii ngoma haipasuki/
And I know I make it shoot/
Bata hanyi magumu hata ukimlisha kokoto/
Ukintukana mi nacheka daima Nakuona mtoto/
Nanena Toka mapema/
Daima sisemi tena/
Hi Bomb wanaelewa Nnachosema/
Chorus:
Ni Sauti ya Gheto
Kwa Watu Wangu wa gheto
Walio KiGhetto Ghetto
Mpeto Haina Mchecheto
Navumilia Mateso
Najua Ntapata Kesho
..............................................
Leo Butimba Kesho Keko..!!
Outro (Q-THE DON)
Yeah,haaaa ..,
Sauti ya gheto
Prof Jay this is how we do
Haa... haa... haaa
Sauti ya gheto
Much respect Much love
Voice of the people
It's your boy Q turn the decks/
Prof Jay turn the mics/
Sauti ya gheto...
One love....
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202