Picha ya Mwanamziki Lady Jaydee
Uchuro? Baada ya kutundika mtandaoni kwa mara nyingine picha za jeneza alilojiandalia litakalotumika siku akiaga dunia, mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo...
Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae...
Amesikika Mkurugenzi wa Clouds Media Group, ndugu Joseph Kusaga katika kipindi cha Leo Tena ninamnukuu "Clouds watangazaji hawaondoki kwa taarifa tu, Zamaradi atarejea kuanzia wiki ijayo "...
Huyu mwamba nilikuwa namchukulia poa, hata hvyo huyu jamaa nimegundua ni mtu na nusu kwenye mashairi mazuri, ieleweke mi napenda nyimbo za kusikiliza, ambazo zitaifanya akili yangu ikae itulie...
Wanajamii karibuni poleni na shughuli za maendeleo kwa wale wadau wa Music Kali ebu taja kibao chako kimoja cha grand maitre ulichokipenda Mimi ni matata ya muasi na mobali Ekoki Kosila te(...
Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake
Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa...
Habari Nzuri kwenye tasnia ya Muziki (bongo flavour) nchini Tanzania ni kuwa msanii Namba Tatu Africa Baada ya Burna Boy ma Wizkid na Namba moja Tanzania ameingia studio na king wa West coast...
Jamaa amejazia kinoma utadhani umaga wa kwenye mieleka.. Hata sadala ataanza kumuogopa sasa. Anatisha mmakonde...
Nawasilisha
Nb. Hebu tuangalie upande wa pili wa samaki. Tumuone mwalimu wake...
MICHAEL JACKSON Ni msanii aliyepewa tuzo nyingi kwa muda wote (most awarded artist of all time). Alishinda tuzo nyingi kuliko msanii yoyote ambaye yupo hai au alishakufa.
Alipata tuzo 39 kutoka...
Video vixen na msanii Amber Lulu ampost kwa Mara ya kwa mtoto wake. Hiyo ni baada ya week chache zilizopita kujifungua, mtoto huyo ameanza kupokea deals za matangazo mbali mbali,
Mtoto Huyo ambae...
Wanazengo poleni na majukumu nimemfikiria sana huyu dogo naona anapotea vibaya sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazozifanya sidhani kama zitazaa matunda.
Hivi kweli kiburi...
Ukweli ni kwamba unapokuwa wcb basi unakopeshwa mashabiki mamilioni wa diamond na ndio maana hata kina lavalava wanasumbua kimtindo, ila kitendo cha kuondoka wcb ni kujitoa katika mashabiki wengi...
Ikiwa imepita miaka toka mkali wa mitindo na mtayarishaji wa muziki nguli wa mitindo ya kufoka foka Kanye West siku ya Alhamis aliweza kuachia EP yake inayoitwa "DONDA" ikiwa ni jina la Hayati...
Wakuu Habari ya Kazi Mwanamuziki Hamisa Mobetto alieachia wimbo wake mpya wenye mahadhi ya singeli uitwao Ex Wangu Remix akishirikiana na msanii wa singeli Seneta Kilata, mpaka sasa imetazamwa...
Wakuu Kwema!
Vijana katika utafutaji ni vizuri kuelekezana ili kufanya kazi zetu zizidi kuwa na manufaa. Katika hilo, nimeona nimshauri na kumuelekeza Ndugu Mwijaku kuwa aache Kushika Mikono wake...
1. Kuna wanaolalamika eti madogo pale WCB wanalaliwa na Mondi, naomba mjue kwamba WCB ni biashara ya Mondi so yupo pale kumake hela kupitia akina Rayvanny, Mbosso, Lavalava, Tale, Sallam, Laizer...
Yule muongozaji wa kipindi cha Nirvana Kwa nyakati zile anarudi tena sio Mwingine ni Deogratus Kithama, Siku za hivi karibuni ataendelea na Nirvana kama awali (Nimesikia tangazo hilo EA Radio)...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni ............. nimeamini kweli biashara Matangazo!!!! msanii wa bongo movies - pichani kaamua kuyanadi makalio yake katika mitandao mbali mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.