Mimi ni mpenda comedy sana hasa za nje. Awali nilikuwa nikizitazama hizi za Bongo za kina Kingwendu, Majuto n.k lakini sasa natazama za nje za kina Charlie Chaplin, Buster Keaton na wengine walio...
Msanii wa muziki wa bongo fleva "Ali saleh kiba" maarufu km kingKiba au alikiba amepata ubalozi wa kampuni ya uzalishaji wa vinwaji vya energy drink vinavyofaamika kama "HORSE POWER ENERGY "...
Binafsi nazikubali kiaina kazi za huyu msanii "Chemical" yuko njema sana kwenye michano, hakika akipata promo ya uhakika atatoboa,(Chibu hebu msaini huyu binti WCB)nimejaribu kumtafuta...
Huku zinaa ndio ujanja,uchamungu ni Ushamba"
Huku Mtoto Kumtukana mzazi au mtu aliyemzidi umri ni Kawaida,
Huku kuvaa nusu uchi ndio urembo na Usharobaro,Wazee kujiona vijana na Vijana kujiona...
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la...
Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi.
Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde.
Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani...
Kwa wanaJF wakongwe hasa wale walioishi Arusha wanaweza kumkumbuka mwanamama HIDAYA (mwanamke wa kwanza kumiliki Toyota pajero ndani ya jiji la Arusha) aliyeimbwa na jitu la miraba minne PEPE...
Mie toka adanganye amenunua rolls Royce toka Mwaka 2018 had leo halijaingia Tz ndo nkajua Kweli mondi NTU WA DILI[emoji16]. Mara anasema ana hotel Sijui wapi , mpaka wa leo hatujawah kuisikia tena...
Seems some of you don't understand so let me explain further.
Nassib Abdul also know by his stage name Diamond Platnunz doesn't have the best vocals,
He isn't the best at songwriting,
He isn't...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema halijaridhia kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere, kushiriki mashindano ya Miss World yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu Peutro...
Habarini!
Niwaambie tu ukweli, nyie wadada wenye pesa zenu mnaotafuta mabaunsa wa kutembea nao nyuma a.k.a (bodyguard) hasa ma celebrity wengi hapa bongo. Ni kwanini mnatafuta wa kiume badala ya...
Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili...
Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz...
Wakuu Tazameni Picha Hizi Ambazo Zimeonesha Wachezaji Warefu Wanapokutana Na Wachezaji Wafupi Kwenye Game Moja [emoji91][emoji91][emoji91]
.....
Kimsingi Mm Ni Mrefu Sana so nikionaga Mwanaume...
Miss Tanzania 2020-2021 Rosey Manfere hajatangazwa kwenda kushiriki Miss World 2021 na badala yake ametangazwa mshindi wa pili Juliana Lugumisa kutokana na utovu wa nidhamu kati ya Miss Tanzania...
Kuna sintofahamu ambazo zinaendelea mitandaoni kuhusiana na Gari mpya ya msanii Diamond Platnumz Rolls Royce CULLINAN black badge 2021.
1.GARI NI FAKE
kigezo wanachotumia watu wenye chuki kuhusu...
Habarini Wana Jf.
Good news Ni kuwa Page ya Grammy umeona efforts anazozofanya kijana mpambanaji na msanii A-List Africa (Diamond platinumz, Burnaboy na wizkid) kuwa anastahili Grammy.
Na hii...
Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza,
Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.