Wimbo wa EX Wangu wa Hamissa Mobetto wafikisha View 2m ndani ya wiki Mbili

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Habari ya Kazi Mwanamuziki Hamisa Mobetto alieachia wimbo wake mpya wenye mahadhi ya singeli uitwao Ex Wangu Remix akishirikiana na msanii wa singeli Seneta Kilata, mpaka sasa imetazamwa takriban mara 2m ndani ya Wiki mbili kwenye mtandao wa Youtube unaongozwa na Creator Pro huku audio ikiwa imetayarishwa na Kenny.

Wimbo huo wa Ex Wangu Mobetto anampa pole mpenzi wake wa zamani kwani kwa sasa ameshampata mpenzi mpya ambaye wameshibana.

Pia, Kwenye aya ya kwanza ya wimbo huu Mobetto anaimba Nakupa pole umeshachelewa, pole dear ex mwenzako nimewahiwa

Wakuu Ex Wake Nasibu Abdul, Vunja Bei Anaupiga Mwingi Kunako Anga Za Singeli Wakuu ila all in all Seneta Kilaka amembeba sana Hamisa Kwenye Huo Wimbo Maana Naona Hamisa Hajaimba Lolote.
 
Anajitahidi japokua kipaji cha mziki hana. Ila akichanganya na umaarufu wake na akiendelea kujifunza mdogo mdogo atafika mbali
Kimsingi hajui kuimba, hana sauti ya kuwaimbia watu Labda anajiimbie mwenyewe Labda Mobeto aache kufanya muziki kwani hajui kabisa kuimba, badala yake ajikite kwenye mitindo, Maana anafaa zaidi kufanya shughuli za Uanamitindo kuliko muziki na Asingekuwa Seneta Kilaka Hata asingetoboa kwenye Huu Wimbo Wa Ex Wangu.
 
Kwenye mitindo tayar yupo huko.. nadhan kaona pesa ipo kwenye mziki. Mbona kina shilole walianza hivo hivo mtamuelewa tu mdogo mdogo.
 
Kimsingi hajui kuimba, hana sauti ya kuwaimbia watu Labda anajiimbie mwenyewe Labda Mobeto aache kufanya muziki kwani hajui kabisa kuimba, badala yake ajikite kwenye mitindo, Maana anafaa zaidi kufanya shughuli za Uanamitindo kuliko muziki na Asingekuwa Seneta Kilaka Hata asingetoboa kwenye Huu Wimbo Wa Ex Wangu.
Bongo sahv wasiyo jua kuimba ndiyo wana kik
Ila kuna mambo yao binafsi,kik ndiyo inawafanya
Wasikike kimziki

Ova
 
Akiendelea kutoa nyimbo za kutikisa makalio atatengeneza mashabiki wengi sana nikiwemo mimi, sikuwahi kujua kabisa kama anaimba hafla nimekuamshabiki bada ya nyimbo moja tu niliyoiona.
 
Siku hizi kwenye bongo movie na mziki wadangaji kibao wanapandisha hadhi zao ili waonekane na wengi wapate madanga yenye hela,we mpaka Nicole muigizaji yaani sanaa imekuwa rahisi.
 
Kimsingi hajui kuimba, hana sauti ya kuwaimbia watu Labda anajiimbie mwenyewe Labda Mobeto aache kufanya muziki kwani hajui kabisa kuimba, badala yake ajikite kwenye mitindo, Maana anafaa zaidi kufanya shughuli za Uanamitindo kuliko muziki na Asingekuwa Seneta Kilaka Hata asingetoboa kwenye Huu Wimbo Wa Ex Wangu.
Wanawake uwa hampendani
 
Mobetto nae msanii..

Mi nilichoka eti Rose Ndauka nae anaimba. Tena anachana.
 
Kimsingi hajui kuimba, hana sauti ya kuwaimbia watu Labda anajiimbie mwenyewe Labda Mobeto aache kufanya muziki kwani hajui kabisa kuimba, badala yake ajikite kwenye mitindo, Maana anafaa zaidi kufanya shughuli za Uanamitindo kuliko muziki na Asingekuwa Seneta Kilaka Hata asingetoboa kwenye Huu Wimbo Wa Ex Wangu.
Anahangaika sana lakini hajui kuimba
Hao viewers walitaka kuona ameimba nini
 
Back
Top Bottom