Kuanzia leo nimemkubali Ali Kiba. Alizaliwa kuburudisha

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,486
34,789
Huyu mwamba nilikuwa namchukulia poa, hata hvyo huyu jamaa nimegundua ni mtu na nusu kwenye mashairi mazuri, ieleweke mi napenda nyimbo za kusikiliza, ambazo zitaifanya akili yangu ikae itulie iuchambue wimbo kuanzia instrumental, vocal, verses na melody huku nikiwa nimetulia nabarizi na mtoto mzuri pembeni.

Basi wimbo unanipa Raha ya Aina yake , ...mi spendi nyimbo za fujo, kubang n.k... nimeusikiliza Jelous kuanzia Audio mpaka Video, daah huyu mwamba nimemkubali, bigup sana ...!!! Jelous siichoki Kwa kweli bonge moja la pini.
 
Timu Mondi umekubali yaishe okay sawa

Mie nipo huku kwa mtu mbishi kweli kweli๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Nikilewa sitaki nigasiwe
Liwalo na liwe situmii za mtu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
WCB unawadai bei gani kwani,
Wakulipe tu.

Timu mondi umekubali yaishe okay sawa

Mie nipo huku kwa mtu mbishi kweli kweli๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Nikilewa sitaki nigasiwe
Liwalo na liwe situmii za mtu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ha haaa daaah , nazikubali hustle za Diamond tena Sana pamoja na utunzi Bora na uliotukuka wa nyimbo za kusikiliza na kubembeleza za Rayvanny , hata hivyo hyo hainifungi kusikiliza Tungo tamu za wasanii wengine na wakifanya vyema lazima niwasifie ....!! Vipaji vizur vipo kila sehemu havijarundikwa Tu pale WCB,
 
Fans wa huyo jamaa wote mngekua na akili kama izi zako basi leo tungekua na wasanii kumi bora wanaotambulika afrika nzima.......

Wabongo ni ubinafsi na unafiki ndio tunachokiweza

Acha niendelee kumsikiliza huyu dogo mbishi sana
 
Ifike mahala haya mapambio yakome, kila siku hawa wasanii watatu wakitoa nyimbo zinaanzishiwa thread, naona kama hii cerebrity forum imeshakosa content za kueleweka or kila anaejisikia kuanzisha thread anajiandikia tu.
Bora nkashinde kwenye uzi wa warembo, hakunaga la maana humu ni wimbo mpya wa mondi mala kiba , cjui mmakonde, vp na sisi mashabiki wa akina Darasa, Jux, Barnaba, Weusi, Badest 47, tukiamua kwenda na huu mfumo....?๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
 
12 hours 1M views
Screenshot_20210730-233224_YouTube.jpg
 
Ifike mahala haya mapambio yakome, kila siku hawa wasanii watatu wakitoa nyimbo zinaanzishiwa thread, naona kama hii cerebrity forum imeshakosa content za kueleweka or kila anaejisikia kuanzisha thread anajiandikia tu.
Bora nkashinde kwenye uzi wa warembo, hakunaga la maana humu ni wimbo mpya wa mondi mala kiba , cjui mmakonde, vp na sisi mashabiki wa akina Darasa, Jux, Barnaba, Weusi, Badest 47, tukiamua kwenda na huu mfumo....?๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
Waanzishie Uzi wao mkuu ...!!
 
Fans wa huyo jamaa wote mngekua na akili kama izi zako basi leo tungekua na wasanii kumi bora wanaotambulika afrika nzima.......

Wabongo ni ubinafsi na unafiki ndio tunachokiweza

Acha niendelee kumsikiliza huyu dogo mbishi sana
Hivi Fans wa Ally na wa Sadala na wana gubu? Fans wa Ally huwezi kuta anamsifia Mond na si kama na Fans wa Ally kweli "Hapana" ila ana chuki na Diamond tu.
 
Umeongea Pumba na umeegemea upande mmoja utafiti wako ni wa hovyoo
 
Back
Top Bottom