Penzi shatashata la Ruby na Mose Iyobo

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Mwimbaji Staa kutokea Bongo Flevani, Ruby ameibua minong’ono mtandaoni baada ya kumpost aliekuwa mpenzi Aunty Ezekiel aitwaye Mose Iyobo na kuandikia maneno yanayoashiria kimahaba.

Ruby kupitia ukurasa wake wa Instagram alimpost Mose Iyobo na kuandika.. “Nakupenda sana sana na Unajua” kitu kilichoacha maswali yasiyo na majibu kwa mashabiki juu kinachoendelea baina ya wawili hao.

Ikumbukwe hapo awali Kusah alikuwa kwenye mahusiano na Ruby ila kwasasa yupo kwenye mahusiano na Mwigizaji Aunt Ezekiel na wawili hao wamafanikiwa kupata mtoto wa kiume.

Wakuu Hii Inaitwa Vice Versa
 
Mwimbaji Staa kutokea Bongo Flevani, Ruby ameibua minong’ono mtandaoni baada ya kumpost aliekuwa mpenzi Aunty Ezekiel aitwaye Mose Iyobo na kuandikia maneno yanayoashiria kimahaba.

Wakuu Hii Inaitwa Vice Versa
Kiki ya nyimbo itakuwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom