Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi chama kiendelee. Kabla baadhi yenu hamjaanza kunisumbua kutaka nitoe maoni yangu kuhusu kushindwa kwa komredi Simba kwenye tuzo za BET, nimeona...
31 Reactions
143 Replies
15K Views
Jana nmeona rayvanny akifanya interview kwenye kipindi cha salama eatv nkashindwa kuelewa imekuwaje WCB na EATV wapi na wapi sikuwa na muda wa kufuatilia ila nilibaki na maswali
6 Reactions
34 Replies
5K Views
Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataweza kuwakosanisha. Hilo linaweza kuwa ni jibu la kwanza...
4 Reactions
36 Replies
15K Views
Roma MKATOLIKI ametanganza Nia ya kucha muziki soon. Kwanza kabisa ameeleza wimbo wake wa kwanza ilitoka 2007 na sasa anatoa wimbo wa mwisho, hivyo ametoa shukrani kwa wale wote walio support kazi...
12 Reactions
41 Replies
8K Views
Sio rahs Kwa Rayvanny kupitia njia aliyoipitia Diamond , kuna watu kuwa kwenye mahusiano na kuacha kwao sio tatizo , Ila kuna wengine sio kaz rahisi, kuna wengine ukishamhaidi binti utakuwa...
3 Reactions
53 Replies
8K Views
HAJANITENDEA HAKI : WAMECHUKUA ACCOUNT ZANGU ZA INSTAGRAM. Mshambuliaji anasema baada ya kuanza mchakato wa kurudi #EFMnaTVE, account zake za instagram zilidukuliwa. Asema hajui ni nani amefanya...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
1. Ukwasi 2. Ubontaun 3. Busara 4. Eposure 5. English Kali 6. Kampani pr na washkaji Maulid Kitenge Masoud Kipanya
3 Reactions
87 Replies
14K Views
Roma amtolea uvivu Nikki Mbishi, Fanya muziki acha majungu badilika muda unaenda haurudi nyuma. Wakuu Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Roma Mkatoliki ameandika kuwa : “Niki!! Punguza Chuki...
7 Reactions
69 Replies
9K Views
hajismanara Wakulungwa wa kibongo waliopo South huuita lile Jiji kama Debeni,,, Yes ni Durban !!! Familia ya kitajiri isiyo na makeke ya Bakhresa inamiliki kiwanda kikubwa cha Unga chenye uwezo...
12 Reactions
29 Replies
3K Views
Mbona kimya sana kuhusu hawa watu, wenye taarifa zao atwambie maana tunawakumbuka sana. 1. Snoop lee 2. Mabaga fresh 3. Rich one 4. sister P 5. Zay B 6. Suma G 7. Rado 8. Balozi 9. Pauline Zongo
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Mpenzi wa zamani wa Cristiano Ronaldo, Irina Shayk aliwaambia wafuasi wake wa Instagram wam-unfollow kama walimfollow sababu ya Cristiano Ronaldo baada ya kuachana unajua kilichotokea? Alipoteza...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Huko twiter mambo yameanza mabosi wa Simba waanza kum unfollow Diamond [emoji184] Platinumz
9 Reactions
113 Replies
13K Views
  • Closed
Mpe marks captaiin anajua kuchagua??
0 Reactions
17 Replies
5K Views
WanaJF naombeni mnijuze kuhusu mdadaa shamim Mwasha mke wa Abdul, mmiliki wa blog ya 8020 fashions alifanya baby shower nzuri sana. Ni mzuri mimba ilimpendza kwel je kajifungua?
1 Reactions
166 Replies
42K Views
Yaani Manara kasifiwa na Chama Insta Live , Tajiri wenu amekasirika kabisa. Ni hakika yale aliyosema Haji tumeanza kuona ukweli wake. Huyu mtu ni mshamba sana, tajiri gani ana tabia za kimaskini !.
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Mteule wa JOTO LA ASUBUHI Mh. Mangele Seteve Nyerere, Amekula kiapo na kuanza majukumu yake katika kuhakikisha mskilizaji wa E-fm anapata habari na uchambuzi was magazeti. Mwanzo mwisho burudani...
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Wakuu gusa link hiyo ili uniwezeshe nishinde hiyo milioni moja (1) toka twa Mo Dewji. Hakisha una RETWEET Asante
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Wengi tunakumbuka miaka ya nyuma Diamond ndie alikuwa msanii pekee aliekuwa ana promote video zake kwenye mitandao ya kijamii kwa kulipia, hiii ikapelekea kuongezeka kwa umaarufu mpaka sasa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Tupunguze Kumsifia ' Kinafiki ' na tujipange Kwanza katika Kumsaidia ili apone na arudi katika ' Game ' kama kawaida. Kwa tunaojua Imani za Kiafrika kumpamba na kumsifia Mtu ' Mgonjwa ' sana ni '...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Nampenda Jay kwasababu anaimba na kuandika maisha yake halisi. Ukisikiliza nyimbo yake ya You Must Love Me na Kill jayz, amewahi kutaja kisa cha kumpiga risasi kaka yake, akiwa na umri wa miaka...
16 Reactions
73 Replies
13K Views
Back
Top Bottom