Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

hello JF, huyu msanii wa Kenya anaimba bwana. Nashauri manager wake amtafutie connection collaboration na US rappers! Lol Huyu mkaka sio wa level ya Africa!,mkikasirika mtajiju. ila kubaki...
10 Reactions
47 Replies
7K Views
Narudia Tena. Diamond Platnumz yupo Marekeni anatafuta pesa Ali Kiba yupo nyumbani anabishana na wakina mama [emoji23][emoji23] halafu badae Diamond akisema anahela kumshinda Alikiba mna...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Uhamiaji, vitambulisho vya taifa na sehemu mbali mbali tukikuta kitambulisho kina umri huu, basi acha tucheke. Huyu Ezekieli au kuna wa pili yake
0 Reactions
13 Replies
3K Views
BURNA BOY AKANUSHA NDOA: SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Sitashau usiku mmoja nikiwa Stockholm, Sweden, Mr Nice alikuwa anashow moja hivi. Kwa kukumbuka sana nyumbani na enzi hizo napenda sana mziki wa Bongo, ukijumlisha na umaarufu wa Mr. Nice wakati...
6 Reactions
49 Replies
16K Views
Mtandao wa #YouTube umeondoa Chaneli za mwimbaji R. Kelly ambazo ni RKellyTV na RKellyVevo ukilenga kujitenga na Mwimbaji huyo ambaye amehukumiwa kwa Vitendo vya Udhalilishaji Kingono Mwezi...
2 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Nashukuru kwa fursa hii huenda kukawa kuna makosa katika uandishi wa majina ya hawa ndugu zangu ambao nawakubali huenda kwa uwezo wao binafsi katika nyanja ya...
0 Reactions
99 Replies
50K Views
Mwanamuziki wa P square, Peter Okoye ameoneshwa kushangazwa na taarifa kwamba mwanamuziki wa bongo fleva Naseeb Abdul alihudhuria harusi yake hivi karibuni nchini Nigeria na kuhudhuriwa na mastaa...
8 Reactions
83 Replies
25K Views
Alafu mtoto awe wako basi. !? Alafu hugongi!? Nini hiki!!!!!!?!
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Hasa zile za album yake ya kwanza kama vile "Kidali Po" na "King'asti", Kwani Beat, Vocal, Mixing na Mastering zimekaa vizuri sana. Ni profucer na studio gani walifanya zile kazi? "ILA MAISHA...
5 Reactions
18 Replies
5K Views
Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8 DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA...
0 Reactions
73 Replies
11K Views
" Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Teddy yuko na beauty fulani hivi amazing, uzuri zaidi ni kuwa she is very intelligent. Mimi huwa namfananisha na Halle Berry sura zao zinafanana. Natamani aigize kwenye movie kama young Halle...
7 Reactions
47 Replies
9K Views
Billionea kijana zaidi Africa mwenye miaka 46 MO, sielewi kwa nini kila nikimuona anavaa smartwatch za kopy za kichina za Apple Watch badala ya original smartwatch za Apple. Kwa mfano kuna picha...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Beyoncé and Jay-Z's twins, Rumi and Sir, were born in June 2017. We know more than two years have passed, but it's impossible to consider the fact that the babies that blew up Instagram with likes...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Yaani inakera sana kuona media zinavyosifia eti muziki wetu umekua wakati hatuna muziki wa kujivunia hadi leo. Wasanii wetu wenye majina makubwa karibu wote kazi yao ni kuangalia muziki unaotrend...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu ndio ushahidi wenyewe, Joseph Mbilinyi ambaye pia anajulikana kama Rais wa Mbeya, ameamua kukataa kuburuzwa na kuamua kumuenzi Nelson Mandela.
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Wandugu leo nilikuwa nafanya reserch zangu kwenye database za UN, Ghafla nikagongana na huyu anayeitwa Willium Samwel John Malecela akikabidhi vitambulisho vyake kwa katibu Mkuu wa UN. Swali ni...
2 Reactions
47 Replies
17K Views
Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye...
9 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom