Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Alikiba akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha Salama Jabir. Amefunguka kwamba alinusurika kubakwa nchi Marekani. Jambo hili lilitokea after party show iliyofanyika kwenye chumba kimoja cha...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Aman iwe juu yenu Nilikuwa sijui hivi kumbe kale kambea kambea kanakoitwa ka Carrymastory ni ka DJ afu ni karembo hivi Nilikuwa sijui aisee ndo nimejua. Hongera kwake Sasa nauliza kwanini...
6 Reactions
130 Replies
25K Views
Imekuwa ni kawaida katika siasa, biashara, michezo, muziki, filamu na mitindo, kila anayefanya vizuri upande huo, kuna mtu alimshika mkono au kumvutia kufanya mojawapo kati ya hayo machache. Je...
24 Reactions
81 Replies
11K Views
Huenda bwana Selemani Msindi amefanya makosa lakini ni lipi kosa lake kisheria? Nani wakumshtaki? Nani aliefanyiwa kosa? Tukianza na kosa lake kisheria, kifungu namba 129 cha kanuni ya adhabu...
5 Reactions
207 Replies
22K Views
Kuna kipindi Nilipitia Instagram Niliona Kama Harmonize Anataka Kwenda Marekani Kufanya Tour Kule. Nilijiuliza Vitu vingi sana kuanzania Management aliyonayo, Promoters Anao Watumia na Aina ya...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Msaniii Zuchu ameyalalamikiaMakampuni Ambayo ameyatuhumu kuwadharau Wanawake/ Wasanii Wa Kike Hasa Kwenye Upande Wa Malipo kwani anasema wao wamekuwa wakipewa hela ndogo...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Wanazengo mmezidi kulalamika, mnaletewa umbea badala ya kusikiliza tu mkapita mnaanza midomo kushindana na Mimi , hivi mnajua connection yangu ? , mnanijua vizur? , nyie shukuruni tu nipo humu...
19 Reactions
195 Replies
32K Views
Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo. Jackline...
10 Reactions
392 Replies
40K Views
Kila siku anafanyiwa interviews na press conferences anafanya lakini sijawahi kusikia akiulizwa hili swali kabisa, Jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni msomi aliyebobea. Binafsi nilimsikia...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwa kweli hii interview ya Salama na Idris Sultan ni funzo kubwa kwa vijana. Vijana wengi pale wanapopata pesa za ghafla hupata kiwewe na kufanya maamuzi ya kukurupuka na mwisho kujikuta...
22 Reactions
138 Replies
25K Views
  • Closed
Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB. Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii...
16 Reactions
94 Replies
14K Views
Wakati watu wanasubiria msanii anaefatia kutambulishwa WCB ni Hanstone yule wa kwenye Iokote. Muda sio mrefu ameachia EP yake bila kuwa chini ya management ya WCB Wasafi. Maswali yamekuwa ni...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Msanii, muigizaji, Mc Menina kaishtaki Multichoice akidai fidia ya 1.2 billions. Kadai alichafuliwa na kipindi cha umbea cha ICU Wakati wa msiba wa mzazi mwenzake Mairmatha Jesse, Juma Lokole...
13 Reactions
337 Replies
32K Views
Kuna mtakao kumbuka album ya Borderline miaka ya 80. Huyu ndiye Malkia wa Pop music.
37 Reactions
113 Replies
13K Views
Hivi hawa maslay queen wanafahamu mbeleni maisha yapoje ! Biashara zao wote ukisikia ni kufungua duka la nguo ndo biashara hata ukimuamsha haraka kumuuliza. Kutopitwa na wakati mfano smartphone...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu Alikiba hapewi sifa anazostahili. Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste. Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na...
18 Reactions
66 Replies
9K Views
Wakuu Kazi Iendelee Msanii Wa vichekesho Dulvan amepost Picha Zake Instagram akiwa Amevaa Brazia(Bra) Kama Tangazo La Brazia. Vijana Wa Kiume Kwa Sasa Wanatamani Kuwa Wanawake Badala ya Kufanya...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Leo mitandao ya Facebook, Instagram, Twitter, na YouTube imechafuliwa na Media ndogo na kubwa hii yote kuzungumzia Msanii Maarufu zaidi hapa Duniani Rihanna kumufuata Mwanamitindo Mbongo na...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom