Hivi Mr. Nice uchawi wake alichukua wapi?

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,662
Sitashau usiku mmoja nikiwa Stockholm, Sweden, Mr Nice alikuwa anashow moja hivi. Kwa kukumbuka sana nyumbani na enzi hizo napenda sana mziki wa Bongo, ukijumlisha na umaarufu wa Mr. Nice wakati huo, nikajiamusha kwenda kwenye hiyo show. Balaa tupu Mr. Nice alikuwa akivutwa na wanawake, wengine hadi walitaka kuvua nguo watiane naye hadaharani, si wazungu wala waafrika, check .

Hivi Mr. Nice uchawi wake ulikuwa wa wapi? Na siku hizi nasikia amefilisika vibaya. Kama ni kweli nitaamini uchawi upo, na kuna jamaa anadai alikuwa anatumia hirizi moja matata kutoka Congo, wanawake wakimwona hivi vinembe vinavimba karibia kupasuka.

Jamani tuache kutumia uchawi kuvutia wanawake, ndio maana ukikatika unakimbiwa na mwanamke.

Kuku kapanda baiskeli.,,,,,,,,,,,????
 
Labda mganga wake alifariki huwezi jua, km kuna wanaume wanatumia dawa kuwateka wanawake basi ni wachache sana kwa sasa, maana kutokana na wingi wa wanawake wala huhitaji dawa za kishirikina kuwateka, uchawi uliyobaki sasahivi ni wa mjapani tu(kuwa na gari na hela utaona maajabu)
 
Labda mganga wake alifariki huwezi jua, km kuna wanaume wanatumia dawa kuwateka wanawake basi ni wachache sana kwa sasa, maana kutokana na wingi wa wanawake wala huhitaji dawa za kishirikina kuwateka, uchawi uliyobaki sasahivi ni wa mjapani tu(kuwa na gari na hela utaona maajabu)
Hakua na uchawi wowote...viuno vyake ndo vilidatisha wadada. Kila mmoja alitaka apate LIVE
 
Hakua na uchawi wowote...viuno vyake ndo vilidatisha wadada. Kila mmoja alitaka apate LIVE
Duuuh! basi mimi sikuwa najua hayo, vp na ww ulidatishwa na mauno yake pia? maana aisifiaye mvua uje imemnyeeshea.
 
jamaa kaisha balaa,nlimkuta rombo pub ijulikNayo kama empire,hadi huruma
Kaisha kimzikiiiii......au kaishaishaje yaani, ina maana hata hizo shoo za kawaida hawezi kuzipiga ili aweze kujikwamua kimaisha??
 
Huu Uchawi wa comoro huko na madascar au visiwa vya ngazija,ukikukubali unakupeleka juuu sana halafu unatakiwa uwe mtu wa kuchaji kila wakati ukizubaa tu unaporomoka kama kidaka,Mfano ndio huyo hapo.
Hao wenye uchawi wao mbona hawatusui kwenye mziki kimataifa??.. Au huo uchawi una mipaka
 
Nilikutana naye msumbiji,nikawa mwenyeji wake,yaliyonikuta sitakuja sahau,nilichogundua huyu jamaa nidhamu ndiyo iliyomponza,ni kama limbukeni wa maisha vile,anapenda starehe na kutumia pesa bila mpangilio
Ahsante-- huu ndo ukweli wenyewe! Mr. Nice ilikuwa ni full ulimbukeni; mwenye pesa ni yeye, mjuzi wa starehe mjini ni yeye hadi alikuwa anaboa na ndo maana watu kama akina Dudu walikuwa wanaishia kumtandika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom