Khaligraph Jones is underated

Huyo jama kaja juzi tu lakin sasaivi ndio anaonekana kama east africa iconic rapper, sababu ana hasira na game ivo ana push harder than tanzania rappers amabao wamesanda kujiblow internationally. bless to him afike mbali OG!
 
hello JF,

huyu msanii wa Kenya anaimba bwana.

Nashauri manager wake amtafutie connection collaboration na US rappers! Lol

Huyu mkaka sio wa level ya Africa!,mkikasirika mtajiju.

ila kubaki Kenya kwa kipaji hicho ni kutotumia talent ipasavyo

Jaribu, kuona kipaji chake humu KHALIGHRAPH JONES MWANAMZIKI WA KENYA AMBAYE YUKO JUUUUUU


Yes safi sana, hakuna kulazimisha na kubana pua/koo kama akina diamond. wako natural kama waimbaji wa enzi za Less Wanyika/Simba wanyika
 
Back
Top Bottom