Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Akizungumza kwa kujiamini kabisa na mikogo yote unayoijua Wewe Meneja mzoefu wa Wasanii maarufu na wakubwa nchini Tanzania na Diwani wa Kata ya Kilungule kupitia Chama cha Mapinduzi Said Fella (...
9 Reactions
86 Replies
11K Views
Jamaa anakuambia "You love I love You, You dont love Me I dont love You".
2 Reactions
3 Replies
359 Views
Kuwe ni Bongo movie, Hollywood, Disney, Pddy music na n.k Hakuna sehemu itawaacha salama wengi labda wakubali masharti ambayo wamudu kuendelea na umaarufu. Kuna television inaitwa Nickelodeon na...
8 Reactions
14 Replies
705 Views
Jaji wa Shirikisho jijini New York amemhukumu Sean “Diddy” Combs kifungo cha miezi 50 gerezani, ambapo tayari ameshatumikia miezi 14. Soma Pia: Sean “Diddy” Combs, amepatikana na hatia katika...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
When I was young and stupid kama ungeniuliza ni mji gani ungependa kutembelea duniani basi ningekuambia mji wa Canton, Canton ni mji ulio kando ya bahari katika nchi ya china lakini kwa sasa hivi...
60 Reactions
148 Replies
12K Views
Sosholaiti maarufu Kenya, Vera Sidika ameposti picha zake akiwa kijijini kwao ambapo ameenda kwa ajili ya kula Christmas. ‎ ‎Picha hizo zinamuonyesha akiwa anakamua ng’ombe na kuandika ujumbe...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
At their peaks, Ed Sheeran vs The Weekend nani hatari zaidi? #forgive me
4 Reactions
112 Replies
7K Views
Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize...
5 Reactions
7 Replies
691 Views
Ni habari njema. Mjasiriamali na social media maarafu wa kuuza vipodozi Niffer kaanza kuwa mweupe tena. Watu walishaanza kukata tamaa alivyoanza kuwa mweusi alipokuwa mahabusu lakini faraja...
14 Reactions
55 Replies
1K Views
Mwanamuziki huyo wa miondoko ya Hip Hop amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Salasala Jijini Dar, mwili umehifadhiwa Hospitali ya Jeshi Lugalo. Atakumbukwa kwa vibao...
19 Reactions
476 Replies
113K Views
Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa...
83 Reactions
284 Replies
17K Views
Nguli katika Ujasiriamali na ushauri wa Maisha duniani. Ametunukiwa Doctorate kutoka Chuo Kikuu (jina Kapuni) kwa kazi alizofanya nchini na duniani. Asanteni. **New Dr in town
17 Reactions
46 Replies
4K Views
Gen Z si watu wazuri aisee. Hawa watu wamejipanga kukukwamisha tena. Dada achana na hii biashara kabisa. NB: baadhi ya wapishi wako ni Gen Z wasije wakaweka sumu kwenye Chakula wateja tukadhurika
8 Reactions
22 Replies
978 Views
Kweli mwaka 2025 utatuachia kumbukumbu nyingi Sana! Kwa kawaida na kwa mazoea ya miaka yote kipindi hiki cha sherehe za Christmas na mwaka mpya ni kipindi cha shamrashamra na vibes za kila aina...
4 Reactions
12 Replies
618 Views
Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa. Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya...
13 Reactions
44 Replies
3K Views
Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho...
13 Reactions
78 Replies
2K Views
Kitendo cha wasanii wa Tanzania kususiwa kazi zao na jamii Yao kimewaibua vijana wanaofanana na wasanii hao na kuwafanya wajikusanye pamoja ili kwenda vijijini kujaribu bahati zao za kupiga show...
0 Reactions
3 Replies
297 Views
Back
Top Bottom