Wakuu,
Mwimbaji wa Afrika Kusini, Tyla, amewashinda Davido, Burna Boy, Ayra Starr na Eddy Kenzo na kushinda tuzo ya Best African Music Performance katika Tuzo za GRAMMY za 68.
Wimbo wa Tyla...
Aggrey TZ kwa sasa anachukua sana mambo aliyokuwa akiyafanya huko nyuma. Ilifika kipindi nusu awehuke, hapa kati maskini ya Mungu kaumwa sana na ilifika muda ukimsogelea anakufukuza anasema hataki...
Wanetu mnasemaje? Kaomba radhi kweli au kachamba umbea? JUMA, sisi na wewe tumepita wapi? Sisi na wewe hatujapitia chochote. Kwanza hiyo AFRIMA ni kitu gani ili tuanze kusaga kunguni mapema
Staa...
Khaby Lame ndiye mtu maarufu zaidi kwenye mtandao wa TikTok akiwa na wafuasi milioni 160.
Mapema wiki hii, alisaini mkataba wa dola milioni 975 na kampuni ya Rich Sparkle Holdings, akiipa kampuni...
Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake
Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga
Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga
Hapatagi utamu...
Muonekano wa huyu mwanamama mke wa mkubwa Fella huwa unanipa mkanganyiko maana ni wa kipekee,kwa wanao mjua hebu tujuzeni ni mzungu au ni shombe shombe???
-Ndumilakuwili-
Suala la mjadala kuhusu nani ndie mfalme wa muziki wa Africa, limekuwa likichukua kasi.
👉Huku kila mmoja akivutia kamba upande wake, kuanzia east Africa kina king kiba, diamond na hata konde boy...
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mheshimiwa Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo , ametembelea Ofisi za Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) leo tarehe 28 Januari, 2026 Jijini...
Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba.
👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini.
Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je...
Ile siku iliyo kuwa iki subiriwa Sana na wapenzi wa muziki Africa ndo leo hii ambapo katika usiku wa Leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy.
Taarifa hii itazingatia wasanii wa kiafrika tu...
Kwa upande wa filamu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania,basi kwenye hiyo listi Shumileta haiwezi kukosa hata iweje.
Stori ya filamu inasisimua sana na iliishia sehemu ya pili, na baada ya...
Unaambiwa Mwanamuziki wa RnB R Kelly anatazamiwa kuachiliwa huru kutoka gerezani Disemba 21 mwaka 2045 na wakati huo atakuwa na umri wa miaka 78!
Mwaka 2021, R Kelly alihukumiwa kifungo cha miaka...
Nyota wa soka wa Senegal, Sadio Mané, aliwahi kufichua ukweli wa safari yake yenye maumivu, upinzani na ndoto kubwa kabla ya kufanikiwa katika soka la dunia.Mané anasema kuwa akiwa mdogo, mama...
Nikiangalia muziki unaoimbwa Nigeria 🇳🇬 miaka ya hivi karibuni na nikitupia macho muziki wa kina 2Baba (zamani 2face idibia), P Square hawa jamaa waliimba kwelikweli.
Hawa jamaa walikuwa na...
H baba alikuwa anajiliza mitandaoni amefiwa na mama yake katoa mpaka maelekezo msiba ulipo na namba katoa ila hakuna pole yoyote aliyopokea pia ukimtoa mkewe Flora Mvungi hakuna msanii yeyote...
"Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.
Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha...
Ukiwa mdumavu wa akili hatua inauofuata ni kutopea kwenye umaskini kisha kuanza kuamini kila jambo unalosikia na kuona .
Ukiambiwa Abdul amenunua private jet unajaa.
Ukiambiwa andamana upiganie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.