Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva wenye ladha ya R&B na Afro-pop, Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Ndani, George...
7 Reactions
21 Replies
847 Views
Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata...
25 Reactions
65 Replies
2K Views
Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo. Nay...
6 Reactions
7 Replies
519 Views
Nimesikitika kuona wabongo wanajirudi tena kwa wasanii kama mazezeta. Idadi ya followers kwa wasanii inaanza kurudi kwa kasi kama hapo awali. Mfano huyu diamond nyodo anawaletea na bado kuna...
14 Reactions
49 Replies
2K Views
Wakuu. Haya ni mapokezi Msanii Diamond na kwenye video ni Gen Z waliosema hawatamani hata kumsikia sijui imekuwaje, lakini ukweli ndio huo wakimzimikia Msanii wao. Je, ni tukio lakutengenezwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati wasanii wakikaangwa na mashabiki kwa kukosa matamasha na uungwaji mkono kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii, hatuoni BASATA wakifanya juhudi zozote kuwasaidia. Wapo kimyaaaaa, kama vile...
2 Reactions
2 Replies
233 Views
Baada ya nyimbo ya Mario kufanya vizuri kwa kigezo eti wamemsamehe Gen Z, pitapita raia wakashtukia mchezo mbona namba zinakimbia, baada ya kuangalia kwenye sehemu ya views namba zimekosewa...
5 Reactions
10 Replies
546 Views
Huu ni ujumbe wa KISIASA alioutoa Diamond Platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi. Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali. ----------------------------
16 Reactions
396 Replies
25K Views
Baada ya kimya cha mwezi wasanii wameanza kutesti mitambo Gen Z wamekubali yaishe Video ya Marioo yazoa views Milioni 1
0 Reactions
27 Replies
787 Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Tofauti ya wasanii wa kisiasa na kisanaa ni namna wanavyopatikana. Wanaweza kufanya lolote hata kujidhalilisha au kuwadhalilisha, kujidhulumu au kuwadhulumu...
3 Reactions
5 Replies
205 Views
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata...
7 Reactions
82 Replies
3K Views
Msanii wa hip hop Emmanuel Elibariki Munisi, maarufu kama Nay wa Mitego, ameachia wimbo wake mpya unaoitwa “Tupo Bize”. Wimbo huo umeelezwa kuwa ni ujumbe maalum kwa wasanii wa Bongo Fleva...
4 Reactions
6 Replies
538 Views
Katika Hali isio ya kawaida dada kaingia insta na kuanza kutia huruma eti huyo jamaa alie matapeli sababu, hamtaki kimahusiano ndo chanzo jamaa kumtapeli kibabe. Wadau wahoji insta ndo mahakama...
6 Reactions
84 Replies
2K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Beka Flavor, ametoa ujumbe wa shukrani kwa Mwenyezi Mungu akisema uhai ni kwa mapenzi na rehema zake, si kwa ujanja wa binadamu. Katika ujumbe huo, amewaomba Watanzania...
2 Reactions
20 Replies
615 Views
Orodha ya watu maarufu ambao ni kama hawana wenza. Yaani ni kama wanaaishi wenyewe tu hakuna mume/mke. Naanza na Madam Rita. Endelea…
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Hebu shuhudieni hiki kituko
1 Reactions
4 Replies
302 Views
Yeap natamani huyu jamaa siku moja asimamishe shughuli zote za jiji la New York na watu waelekee kwenye show yake ya muziki ndani ya ukumbi wa Madison Square garden kwenye viunga vya Downtown...
3 Reactions
26 Replies
437 Views
"Jana usiku alisimamisha show yake kuwaambia watu waiombee Tanzania sababu ya mauaji yaliyotokea. Meanwhile wasanii wa Tanzania wanapambana kuirudisha nchi kwenye hali ya hali ya kawaida ili...
6 Reactions
9 Replies
741 Views
Asilimia 2 TU watanzania ndo hawakumpigia kura mama yenu . Hizo asilimia 98 walimpa mama na nyie watawapa pia Mmezoea kulalamika Kila awamu Kwa sababu ya uvivu na ulegevu Pengine mkubali ule...
1 Reactions
2 Replies
128 Views
Wakuu kabla ya kuwahukumu hawa viumbe tujikumbushe kuwa wasanii ni watu wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii kuliko hata wanasiasa walio wengi. Kwa mfano Diamond peke yake ana ushawishi mkubwa...
2 Reactions
15 Replies
363 Views
Back
Top Bottom