central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 132
- 187
At their peaks, Ed Sheeran vs The Weekend nani hatari zaidi?
#forgive me
#forgive me
hii kitu popote nikiisikia, naamka/nasimama kiuno na nyonga vinaanza kupishana kwa mwendo wa zig zag.....
Ardhi itatambua kuna mnyamwezi anayarudi madogoli...๐ ๐ ๐
Basi tuu, Raha ndani ya rohooo...๐.
Kwatuuu....๐.

Nipo hapa kanyeye kwa Zero nasikiliza nyimbo za Muinamila...๐
Kasie matata๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐
Nimeambiwa Sensema malunde leo wamepika makopa na matobolwa...๐คฃOngezea na za Kalubandika....๐ ๐ ๐
Huku unashushia michembe wakati unasubiri nswalu na nsansa.