Comedians wote ni CCM, bongo movie wote ni CCM,wasanii wa muziki wote ni CCM, wachezaji wa Mpira wote ni CCM makundi yote haya ni nadra kuyasikia yakikosoa mambo mabaya yonayofanywa na CCM...
Hello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
Naomba Wazee wa Kanisa hapo kwa Mtume mkuu wa Tanzania Nabii Mwamposa wamdhibiti Mchungaji Tony Kapola maana anawajibu Watu akiwa amepanic sana
Atamuharibia Mtume Mwamposa na Huduma yake
Ni...
Cristiano Ronaldo amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu, Georgina Rodriguez. Wawili hao wamekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 9 sasa na tayari wana watoto wawili pamoja.
Georgina...
Sikuratjia kama huyu msanii anaweza kuwa na uwezo mdogo saana wa kujenga na kuchambua mada na kujileza hadi nilipomsikilizi jana jioni kupitia kituo kimoja cha redio ambacho kimekuwa kikitumiwa...
Hapa bongo ninadiriki kusema hakuna bondia wa kizazi hiki anayehujumiwa wazi wazi kama Loren Japhet.
Kwa haraka haraka ninaweza nikakutajia fights tatu alizohujumiwa wazi wazi mpaka mashabiki...
Yaani ukimsikiliza Tongolanga, unajua kabisa hapa kulikuwa na mtu haswaa aliyezaliwa kwa ajili ya kuimba. Kila munu ave na kwao i-4, sanura, baba na mama, mpenzi Nuru, chilambo Cha vene.......dah...
Wakuu,
Leo nilikuwa nimekutana na clip moja ya huyu mchekeshaji anaitwa Ndaro huko Youtube
Nimejaribu kuangalia for at least 3 minutes kwa kweli nimeshindwa. Yaani jamaa hachekeshi kabisa...
Mimi bado najiuliza jamani hili ni pepo ama alipitiwa ama ni tamaa tu ilimpitia suala la
mtoto wa rostam kukamatwa kwa kubaka mtoto wa mugabe.
Kuna wanaosema kijana alikuwa anatafuta kujulikana...
Umuofia kwenu wana JF,
Aliyekuwa mwanamuziki aliyeunda kundi la Xplastaz Godson Rutta aka G-Son amefariki dunia akiwa USA baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Ikumbukwe kwamba Gsan ndiyo mtanzania wa...
KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
Toni Braxton...
HUYU JAMAA HELA hanayo, ila haitoshi kuleta fujo MJINI, ambapo Kuna GSM na kina lugumi wanaishi. haitoshi hio HELA kaka tuliaaaaaa weweeeeeeeewwww kijanaaaaaaaaaaa
Mwanadada mbeba vitu vizito, Loveness Tarimo ametangaza kuwa yeye ni mjamzito kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Namtakia kila la heri, atuletee anko salama!!
Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO.
Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni...
Tofauti na hapo ana enjoy kuonekana kama chapati na yeye kubaki hivi sioni masculinity katika kizazi chake, naona vitoto vyake vya kiume kuwa vichapati chapati kwq maana image ya baba wanayoiona...
All around in my home town they're tryin
To take me down
They say they want to bring me in guity for the killing of the deputy. For the life of the deputy
Sherrif John Brown always hated me for...
Msanii Sam wa ukweli hatunaye tena duniani, amefariki usiku huu hospitali ya Palestina iliyopo Sinza
Mwili wa Sam umepelekwa hospitali ya Mwananyamala kuhifadhiwa.
Sam, alitamba na vibao vyake...
Umuofia kwenu wana JF,
Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.