Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nyota wa soka wa Senegal, Sadio Mané, aliwahi kufichua ukweli wa safari yake yenye maumivu, upinzani na ndoto kubwa kabla ya kufanikiwa katika soka la dunia.Mané anasema kuwa akiwa mdogo, mama...
4 Reactions
4 Replies
481 Views
Nikiangalia muziki unaoimbwa Nigeria 🇳🇬 miaka ya hivi karibuni na nikitupia macho muziki wa kina 2Baba (zamani 2face idibia), P Square hawa jamaa waliimba kwelikweli. Hawa jamaa walikuwa na...
3 Reactions
23 Replies
543 Views
H baba alikuwa anajiliza mitandaoni amefiwa na mama yake katoa mpaka maelekezo msiba ulipo na namba katoa ila hakuna pole yoyote aliyopokea pia ukimtoa mkewe Flora Mvungi hakuna msanii yeyote...
12 Reactions
31 Replies
1K Views
"Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami. Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha...
20 Reactions
133 Replies
4K Views
Ukiwa mdumavu wa akili hatua inauofuata ni kutopea kwenye umaskini kisha kuanza kuamini kila jambo unalosikia na kuona . Ukiambiwa Abdul amenunua private jet unajaa. Ukiambiwa andamana upiganie...
2 Reactions
15 Replies
584 Views
Kuna mdau mmoja humu kauliza swali kama kiredio na demu wake wamewchana. Hata hivyo kamati ya umbea ya JamiiForums ikiongozwa na Gentamycin imefuatilia na kubaini Demu wa kiredio anayejulikana...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
KIMEELEWEKA! Baada ya kuruka viunzi vya hapa na pale, hatimaye, mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameridhia kupokea posa ya rubani wa ndege, Hamdan Zakwani ‘Danzak’, Gazeti la...
8 Reactions
149 Replies
22K Views
Msanii maarufu wa muziki kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, amejikuta katika mvutano mkali wa kisheria na timu yake ya zamani ya usimamizi, Black Major, kufuatia madai ya kutolipwa kwa kamisheni...
0 Reactions
1 Replies
254 Views
Ndugu wana jukwaa, Leo ni siku ya huzuni tunapopokea habari za kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa kweli wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong—Leung Choi-sang. Kwa wale tuliozaliwa na kukua...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi. Kizazi hiki cha sasampa hovyo kabiSA, Sikujua Lili Nas x yuko vile.Nimefuatilia dogo ana laana yule.LAANA ZIENDE KWAKE.Alitembeaga uchi uko marekani alikamatwa aliwekwa sober...
3 Reactions
8 Replies
657 Views
Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda...
0 Reactions
2 Replies
522 Views
Anayejiita Nabii Kiboko ya wachawi sasa amebadili dini rasmi na kuwa Muislamu, na sasa anajiita Mohammed Bin Kiboko.
19 Reactions
90 Replies
2K Views
Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana...
23 Reactions
55 Replies
2K Views
Mara mia niangalie video ya Fagilia - Mr Nice au Mtoto wa Dandu - Sina Makosa. Sio hii takataka ya Giggy Money - Go! Aisee hamna kitu hapa. Wimbo katumia VO ya AI, video pia katengeza kwa cheap...
5 Reactions
18 Replies
599 Views
Hello! Mara nyingi watu wanataka kujua kijana Godlove pesa anatoa wapi. Wengine wanakwenda mbali na kusema zile si pesa halisi kwamba ni pesa bandia, si kweli. Zile anazopiga nazo picha ni real...
35 Reactions
84 Replies
19K Views
Unakuta mtoto wa kiume naye anafurahia eti kisa gari zangu kuchukuliwa, unafurahia anguko la mwanaume mwenzio?! Ni Bora Mimi nimewahi kumiliki hizo gari, wewe je? Kama gari zimechukuliwa ila...
4 Reactions
9 Replies
475 Views
Tunaomba iwe kweli hii habari ya chief godlove kufulia na kunyang'anywa magari aliyokuwa anajigamba nayo kumbe siyo yake. Vijiwe na vibaraza vya umbea vimechangamka balaa. Mitandao ya kijamii...
7 Reactions
29 Replies
918 Views
Miaka ile meneja wa Yamoto Ndugu Saidi Fela, kuna nyumba aliwajengea/aliwanunulia vijana wake wa Yamoto bendi. Hivi zile nyumba walipewa jumla au zilikuwa geresha tu za Bwana Fela!?
5 Reactions
9 Replies
530 Views
Msanii wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba, maarufu kama Alikiba, amesema kuwa kila mtu ana haki ya kueleza kile anachojisikia, na ni jambo jema watu kutoa yaliyo moyoni mwao. Alikiba ameeleza kuwa...
4 Reactions
4 Replies
647 Views
Back
Top Bottom