Nasikiliza huu ujio mpya wa Mwana FA ft Harmonize.
Kweli Mwana FA ni Jay Z tulienae. Punchline[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Harmonize ametoa wimbo unaohamasisha matumizi ya bange lakini cha ajabu mpaka sasa serikali bado haijamchukulia hatua zozote za kinidhamu.
Huyu jamaa ulimbukeni na ushamba vinampeleka puta sana...
Nauliza kwa wale wapenzi wa action movies je kuna sehemu mmewahi kumuona huyo martial artist amevua shati?
The same apply kwa Salman Khan nae sijui kama wenzangu mmewahi kumuona akimaliza muvi...
Mnyetishaji wetu ametupa taarifa za ndani hali sio shwari ndani ya himaya ya konde Gang.
Hii ni baada ya mapenzi motomoto ya boss wa lebo hiyo na mpenzi wake Kajala penzi lao kuingiliwa na ruba...
Kwa wenye kuweza watch EATV now!,
Mhe. January Makamba yuko live kwenye kipindi cha Mikasi kinachoendeshwa na Salama Jabir!.
Please watch it!, Salama is dam good!.
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Yule rapa mtata kunako game anyeongoza kujaza viwanja vikubwa ndan ya africa na nje ya africa casper nyovest ndo...
Madam Rita kupitia kipindi Cha Salama Na amafunguka mahusiano yake na Mzee Reginald Mengi.
Akimuelezea Mzee Mengi Madam Rita amesema hakuna aliyewahi kumpenda na kumuonesha upendo kama Reginald...
Hawa vijana wanajiingiza kwenye maisha ya ushetanini. Kama ushetanini siyo Kiswahili basi tutajua, huwezi ukatoka nje na kipichu tu.
Hata kama unakasoro mwilini ni siri ya ndani. Hata kama...
Boss wa Kondegang Music Worldwide @harmonize_tz ametangaza kuchaji Tsh Milioni 100 kwa wasanii watakaotaka kufanya naye Collabo huku sharti lake ngoma iwe kali tu.
"Naanza kuchaji Tsh Milioni...
Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao.
Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi...
Account ya Kanye West ya Twitter imekuwa suspended kwa madai kuwa amevunja sheria za twitter na kuandika lugha inayoashiria uvunjifu wa amani.
Asubuhi ya December 2, Kanye alipost picha ya Elon...
Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao.
Ni...
Mmh shoga kashaona wamachame maji marefu kaamua kujipendekeza mwenyewe yaishe mxieew umaskini mbaya, kaa upate mgawo wako ulee watoto wako, watoto wa mengi sio maskin kama wewe, shukuru Mungu tu...
Jarida la Forbes limemuondoa rapa na mfanyabiasnara Kanye ‘Ye’ West kwenye orodha ya wasanii mabilionea, baada ya mkataba wake na kampuni ya mavazi ya Adidas kuvunjwa leo.
Kanye amebaki kuwa na...
Kuna watangazaji wanavutia kuwasikiliza au kuwatazama pindi wanapokuwa wanatoa taarifa au kuongelea jambo fulani.
Kwa upande wangu hawa nawakubali sana, Kuvichaka #Jabilsaleh wa EFM na TV E na...
Amepost kwenye insta story yake
MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.