January Makamba live! Ndani ya Mikasi EATV!. Watch Now! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba live! Ndani ya Mikasi EATV!. Watch Now!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Pascal Mayalla, Mar 12, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,583
  Trophy Points: 280
  Kwa wenye kuweza watch EATV now!,
  Mhe. January Makamba yuko live kwenye kipindi cha Mikasi kinachoendeshwa na Salama Jabir!.

  Please watch it!, Salama is dam good!.
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,583
  Trophy Points: 280
  Kumbe Januari udogoni amechunga mbuzi, amebwia pombe ya rubisi na ameuza mpaka gongo?!.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kisharobaro zaidi
  na sijawahi kumkubali kihivvyo

  acha niendelee kula bia
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Two times in one day!
  Sure he is busy building an empire!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,583
  Trophy Points: 280
  Alifanya kazi kambi ya wakimbizi hivyo akapata his first exposure na international community
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,583
  Trophy Points: 280
  Amepinga posho na kupenda totos ameruka kimanga!.

  Anapenda bongo fleva anamkubali sana mwana FA!.
   
 7. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mama yangu pombe imekuwa tamu paka unakula bia,ok ngoja mimi ninywe bia,Mx
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  na mengine hajasema alowahi fanya...
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,583
  Trophy Points: 280
  Kuhusu Mwakiyembe, " niko naive na very cassual" siamini hayo mambo kuwa mtu anaweza kukuwekea....
   
 10. mbota

  mbota JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 745
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  Siyo live
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,583
  Trophy Points: 280
  Prog. Iko hewani live now!,
  Jamani kama kuna mwenye kuweza kuendeleza hii update nitashukuru, narekebisha menu!.
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  pasco na wewe hueleweki sometimes'sioni kama huyu jamaa anaweza kunishawishi nikalishe makalio yangu na kumsikiliza'kama ndio wanasiasa mnaotegemea eti wa umri wetu basi tumekwisha
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mie huwa namwona kama mtu aliyeangukia mtoni na suti akaamua kuoga tu.
   
 14. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  wivu utakuua ww mlevi wa shilembi
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,583
  Trophy Points: 280
  Jamaa amemalizia kwa kuzungumzia umri wa kupiga kura ushushwe mpaka miaka 15 na umri wa kugombea urais uwe 35!.
  Dakika 30 zimekwisha!.
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,583
  Trophy Points: 280
  Mwanzo nilindhania Nape ndio most promising young politician wa CCM!, kumbe sasa ni huyu Jamaa!. Most promising wa Chadema ni Zitto, most promising wa CUF ni Jussa na NCCR alikuwa Kafulila sasa ni Mkosamali!. Just take it or leave it!.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Pasco mpambe sijapata kuona! Kungekuwa na tuzo za watu wanaopenda kujipendekeza walahi ungezizoa zote!

  Unashoboka hadi unatia kinyaa.
   
 18. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Nani anaweza kukubali upumbavu kama huu'walioweka umri wa miaka 18 ndio wapige kura walifanya utafiti wa kina kuhusu mwanadamu na utashi wake'ndio maana hiyo ipo dunia nzima'hivi umewahi kutembelea jimbo lake na kuona jinsi ile real povert inavyosumbua wapiga kura wake??hii nchi tuna safari ndefu sana kufika tunakotaka'yale maneno aliyoongea kikwete kuwa rais ajaye awe kijana yanawasumbua wengi'hawajui kikwete aliongea kwa sababu gani'na hawajui kwa sababu tayari wamevishwa kiburi cha uzima wakitaka makuu zaidi'sisi tuliokaa pembeni tunajua yote!
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Triple LiKe
  Nidai ndama.

   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  sasa hapa wivu uko wapi?
  Unajua hata maana ya hicho nilichosema?
  Au umeyachukua maneno kama yalivyo?

  Pitia basi nahau japo kidogo

   
Loading...