Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

RECHO TEMU AINGIA PABAYA Jamani yaani tumbo la Uzazi hadi linanikata kwa kweli. Mwanadada mwenye makeke yake, Mdogo wa mwana diplomasia na Balozi wa Nchi yetu huko ughaibuni atamuua dada yake...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
Wakuu kwema, Habari za asubuhi? Njooni kidogo tuzungumze. Hivi ipi tofauti ya MC na Rapper kwenye Hip Hop? Nini kinawatofautisha? Nitajieni Ma-Rapper na Ma-MC. #forgive me
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Patcho Mwamba, jamaa alipata aleji ya kuvimba mwili baada ya kunywa bia fulani jina kapuni, na baada ya kuanza kuwashwa sana alipiga picha na kuweka kwenye ukurasa wake wa instagram. Baadae kuna...
0 Reactions
44 Replies
20K Views
Tuwe tu wakweli tuache nongwa Baraka Da Prince anajua sana basi tu changamoto za maisha zinamfanya anakua na kisilani sana na lugha za matusi bila kuogopa wakubwa zake kwny tasnia. Jamaa katoa...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari za week end wadau! Katika tafakuri zangu kuhusu Sanaa yetu ya bongo, nimeona niandike Uzi mfupi kuhusu artists hasa wale wenye vichwa viwili( mabeberu wenzangu). Mwenyezi Mungu ametujalia...
0 Reactions
2 Replies
604 Views
December 08,2022. Mchezaji kikapu raia wa Marekani Brittney Griner aliyekuwa ameshikiliwa nchini Russia tangu mwanzoni mwa mwaka huu ameachiliwa huru Leo. Mchezaji huyo alihukumiwa kifungo cha...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy. Nimemiss...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamaa kuna angle mbalimbali nashindwa kumuelewa Kwanza amepoa sana kwasasa zile pirika pirika zake za mziki attention na maisha yake ya mtandao amepoa Pia kwenye mziki ni kama hayuko serious...
10 Reactions
59 Replies
7K Views
Cheki hapa Rayvanny alivyotumia uchawi kwenye shoo yake ya Fiesta Sumbawanga.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari Miaka mingi imepita I think less...
22 Reactions
333 Replies
92K Views
Wa WASAFI FM SPORT ARENA anaitwa MWANAIDI SULEIMAN Wa E-FM SPORTS HQ anaitwa TUNU HASSAN. Yaani hawa wakiongea ni SHUDU TU... Hata vile wanavyojaribu kuchokoza mada... Wanashindwa hata kujenga...
11 Reactions
24 Replies
4K Views
Naingia moja kwa moja. Wanasema gift and curse ni vitu viendavyo sambamba. Hili tumeona kwa late Michael Jackson, Whitney Houston na wengineo. Kwenye suala la uandishi wa mashairi mazuri mr...
12 Reactions
46 Replies
4K Views
Tuna wasomi kite duniani hata UN wanatutambua.
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa wapenzi wa Mchiriku/Mnanda jina la Division Haji litakuwa sio geni sana haswa kwa ukanda wa Temeke, ni mpiga ngoma hodari hakika ukihudhuria show zake lazima uburudike na ufurahi kwa ufundi na...
1 Reactions
6 Replies
789 Views
Hakuna ubishi Msanii Harmonize au kama anavyojiita Konde boy ni msanii mkubwa si kwa Tanzania tu pamoja na mataifa yote ya Afrika. Ukichukua wasanii 3 Wakubwa na bora Tanzania basi bila shaka...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Ushamba wenu na majikwezo yaishie Afrika tena siyo nchi za Kiarabu kwa wafia dini. Muwe mnasoma mazingira ya nchi unayoenda kama watu wakubwa na pesa zao wamezuiliwa kutumia vilevi na kutangaza...
16 Reactions
50 Replies
5K Views
Najua kuna baadhi ya watu ukitoa sifa kwa mtu hawapendi Mara utasikia umekuja kujipigia promo humu lakini tuwe wakweli this man called Meja kunta ameleta mapinduzi kiasi kikubwa kwenye singeli...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Mkali wa RNB R. Kelly kaachia album yake ya kwanza akiwa gerezani. Jina la album linakwenda kwa jina la I ADMIT IT, kwa lugha yetu ni NIMEKUBALI. Ndani ya album iyo jamaa kakubali kutoka...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za mida, Watu wengi duniani hutumia pombe kwa sababu mbalimbali zikiwemo kulewa, burudani, kuongeza uwezo wa kujichanganya na watu, kusahau matatizo na hisia hasi, kusherehekea, kuburudika...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
"Bila Upevu wa Fikra kung'amua Hii Homa ni Ndoto/ Madaktari , Waganga Wote Cha Mtoto/ Bado Wanaitafuta Pimajoto/ Kwani Dunia Ina Homa Kali Mithili ya Moto/ Wanasayansi Tumelala Maabara/...
13 Reactions
42 Replies
8K Views
Back
Top Bottom