Nina uhakika Kitendo chenu cha Kuachana nae (Retrenching Him) pamoja na Watangazaji wenu Wengi wakiwemo Watangazaji Maarufu (Ninaowahifadhi) ambao wanafikia 27 mlitupoteza Wasikilizaji wenu.
Ni...
November 25,2022.
Mahakama moja nchini China imemhukumu mwanamuziki wa zamani wa kundi la K-pop Kris Wu kwenda jela miaka 13 kwa kosa la ubakaji
Mahakama hio ya Beijing ilisema amehukumiwa miaka...
Habari za mda huu wanajukwaa
Kutokana na kazi za uyu bwana SABINUS
ambae jina lake halisi ni EMANUEL CHUKUEMEKA nmeleta andiko hili sio kwa ubaya ila kuuliza wajuvi wa mambo
Kama Kuna yeyote...
Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike.
A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya...
Range ya Zamaradi Ilivyopatikana.
Issue iko hivi Zamaradi alinunuaga nyumba kipindi yupo na Ruge, Ruge alimsaidia kununua hiyo nyumba. Then akanunua kiwanja mwenyewe kipindi yupo na Ruge, baada...
Katika hali isiyo ya kawaida mchekeshaji aliyejizolea umaarufu mitandaoni Jackson Sakwile maarufu kama “Mkaliwenu “ametunikiwa gari la kifahari aina ya BMW X5 na Nabii maarufu nchini Dk GeorDavie...
Ikitokea Nimepata Tatizo Lolote La Kiusalama, Kuanzia Muda Huu Unapoona Hii Post Atakuwa Anahusika Rashid Makwilo Almaarufu Kama Chid benz na Genge Lake La Wahuni.
Kwasababu Wamenifuata zaidi ya...
Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile.
Miaka kadhaa...
Kwamba unavaa milioni kumi toka juu kichwani mpaka kiatu chini, ili waliokosa riziki siku ya leo wasemaje ? Wamuone MUNGU anaupendeleo ama ?
PROVERBS 1: 32
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea.
Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi...
By Sangu Joseph
Siku kadhaa Nyuma nilipata muda wa kutafakari kwa kina kuhusiana na Mchekeshaji Joti, nadhani kama Heshima anayopewa siyo anayostahili hapa kwetu Tanzania.
Mimi kwangu binafsi...
Albert Mangwair ft Lady Jaydee - Mapenzi gani.
Naisikiliza hapa hii ngoma, asee Cowbama ilikuwa kiwango kingine, ujumbe, huu mtiririko wa humu, midundo.
R.I.P Cowbama.
Naona kuna uwezekano haya ni mambo ya ndani sana ambayo pia msela alishaifahamu. inaonekana bomu hili lilizimwa kiutuzima na watu wengi kuficha heshima ya kanisa lao na jamaa yao kiongozi.
Sasa...
Hawa jamaa wamerudi na ngoma yao nyingine ya mzee wa busara part II. Wanafurahisha tu kuwaskia tena baada ya miaka mingi wamenirudisha back in time. Nature kweli kiroboto yupo vilevile na ubora...
Tuukubali ukweli kwamba kila nabii na zama zake. Tuliona miaka ya elfu mbili mastaa kama Professor Jay, Ngwea, Fid Q, Kalapina, Juma Nature n.k, wakitawala Hip Hop huku Fid Q ndio akivaa taji...
Hivi kuna muimbaji wa muziki wa injili aliwahi tokea kumzidi Rose Muhando, naongelea wote wakike na wakiume?
Kwangu mimi bado sijaona! Ukianza na Uwe Macho, Nibebe, Utamu wa Yesu, hizi album...
Jana huko mitandaoni palizuka ugomvi wa haja uliopelekea mwanamama Restuta Kweka aka rest BBQ kuingia live na kuwachamba mno Open Kitchen na Rachel Temu.
Kisa cha ugomvi ni biashara mpya...
Aisee baada ya kifo cha TAKE OFF sijui kama kundi litaendelea kuhit..kifo cha jamaa kimetikisa sana yani bado najiuliza why niggaz wanauana sana huko USA?? ukisikiliza album kama CULTURE III ndo...
Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha Movies ya NETFLIX
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.