Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?
Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote...
Katika Muendelezo wa Mafanikio ya Mkoa wa Kagera mara baada ya shule za Kemebos kuwa wa kwanza kitaifa na kimataifa sasa ni zamu ya Mc wa Kimataifa Mc Gara B kung'aa kimataifa baada ya kupata...
Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala...
Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa...
Zamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM.
Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu...
Lucky Philip Dube maarufu kama “Lucky Dube” mzaliwa wa Mpulanga Afrika kusini.
Huyu ni miongoni mwa wanamuziki ninao wahusudu na kuwapa heshima kubwa hapa barani Afrika na duniani kwa ujumla...
Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani.
Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia.
Kipindi cha...
Kwangu mimi
MFALME - Q chief
Nikilala naota - jide
Namtafuta aseme
Kama unataka demu - Solo thang
kazi ipo - wanaume
Sintobadilika - Mie tee
Malkia - Ray C
Uko wapi
Soge sogea
Na wewe Milele...
Chanzo kikuu kilichomuanoda Mendez Salam SK wcb ni hiki shuka na mimi
Mendez kama meneja alimshauri boss wake Diamond kwenye relationship status hawez kuwa na Zuchu
Maana hana mvuto kibiashara...
Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa...
Picha hiyo ya Lionel Messi aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram saa kadhaa baada ya timu yake ya Argentina kutwaa taji hilo, imeweka rekodi ya kuwa picha yenye ‘likes’ nyingi katika...
Unjani sabuwona
Wakuu leo jumapili yangu imeenda poa sana mamilioni yanaendelea kutililika tu sijui nyie majobless wenzangu kikao cha harusi yangu kinaenda vizuri sana muda si mrefu...
Umri unakwenda ila kipindi cha clouds FM na TVT kabla kuitwa TBC walitamba sana.
~ Aisha kimobitel na nyimbo ya Mgumba
~ Mao santiago kipindi yupo Chuchu Saundi
~ Banza Stone
~ Mwinjuma Muumini...
Kuna kijana mmoja aitwae Baraka, alitrend sana na kuvuta hisia za watu wengi kipindi kile cha awamu ya tano kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuigiza sauti ya Rais Magufuli.
Alijizolea umaarufu...
“The Kid You Know” albamu ipo masikioni mwa mashabiki wa Marioo tangu December 9. Albamu hii yenye nyimbo 17 imepambwa na kolabo 12 za Afrika, miongoni mwa kolabo kubwa zinazopatikana humu ni I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.