Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Imezoeleka watoto wa mabilionea kuwa na kashfa mbalimbali kama za kifisadi, madawa ya kulevya, wizi, umalaya nk but kwa watoto wa huyu mzee maarufu imekuwa tofauti sana kusikia kashfa zao.

Ni nadra sana kuwakuta wakiuza sura kwenye TV kiukweli au kuwaona kwenye viwanja vya bata hapa Bongo.

Ni mfano wa kuugwa kwa kweli kwa watoto wa matajiri.

RIP Motiel Mengi

Ila hawa watoto ni mfano wa kuigwa
 
Mali zilizotafutwa kwa jasho huwa zinatumika kwa nidhamu sana,bila kutapanya hovyo. Huyu mwingine,familia ilitumia ofisi ya umma kutajirika,hawakutolea jasho,ni kwa mpango wa mjini. Hawana maumivu,kibiri kibao,dharau nyingi.
 
Mimi watoto wa Mengi siwafahamu
Wakubwa walioko hai ni wawili
Regina (anafuga dread hivi) ambaye ana manage EATV na EA radio,na Abdiel ambaye pia kama haijabadilika alikua ni moja ya wakurugenzi ndani ya the guardian,

Aliyefariki alikua Rodney Mutie (alikua mtu mwema pia) na ndio alikua mkuu wa Ea tv na radio.
Plus twins wa dada Klynn...
 
Back
Top Bottom