Toka Diamond atoke kimuziki hakuna mwaka haujapita bila msanii mwenzie yeyote kumlalamikia either anawaroga na kuwaibia nyota au anawafanyia figusu wasiendelee kimziki.
Wasanii kama Qchilla...
Tafadhali Shilole usinunue Rolls Royce Cullinan 2021
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Natumaini wote mko poa mkiendelea vyema kulipia tozo za miamala. Hakika uzalendo hauepukiki. Leo...
Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans.
Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo...
Kumekuwa na sintofahamu kuwa hivi sasa Manara tangu tu alipoenda Dubai amepoteza kabisa ubingwa wake, hali iliyopelekea mke wake mdogo kumkimbia.
Ikumbukwe kuwa Haji manara ni balozi wa wasafi...
West Moore akiwa katika picha ya pamoja na familia yake wakiungana na Oprah kufurahia uwapisho huo.
Westley Watende Omari Moore is an American politician, investment banker, author, and...
Wakati tuhuma za kumtorosha mke wa manara kule Dubai na Kisha kumtembezea rungu pale konde village zikiwa bado hazijapoa , Harmonize a.k a konde boy mnyama amejikuta kwenye vita nzito na boss wa...
Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam.
Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa...
Kupitia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii wa nguli wa muziki RnB na mwigizaji wa Filamu nchini Marekani Tyrese Gibson ameonesha kupagawa na uzuri wa Zanzibar kuelezea kwa hisia jinsi...
Mzee wa Nasemajeeee...
Mizuka ya huyu mwamba ni next level..
Ndiyo Dj anayetrend zaidi kwa sasa kutokana na style yake ya kupiga miluzi mingi pindi anaposherehesha.
Hajaajiriwa na kituo...
Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za...
Huyu kaka anapenda kwao kila mara yupo kwao na anasaidia sana kwao jamii ya kwao ni mtu hasahau kwao amewajengea shule watoto bure hakuna ada
Anafurahisha sana na anaongea na kila mtu sokoni...
Fireboy DmL,Joe Boy,Rema
Kwa sasa kwenye mziki wa Nigeria kuna Wasanii wameibuka na wanafanya vizuri sana Kama Rema,Joeboy,Fireboy au Mayorkun, N.k
Rema alitamba sana na EP ya Bad Commando...
Kuna hili pini la Stamina la zamani sana wakati yupo kwenye harakati zake za kutoboa zaidi.
Stamina ft Godzilla(r.i.p),Izzo B___Punch after punch. Imepikwa kwa Mesen pale...
Mi naomba kama...
Kama IRS (The Internal Revenue Service - Revenue service for the United States federal government) ingekuwa TZ kufuatilia wapenda sifa naona wangenyoosha mikono juu wasanii.
Wasanii mnapenda sifa...
Soma upate funzo
Darasa la tano na miezi nane yake ilikwisha katika, masomo yalipamba moto miezi hiyo, kila mwalimu alijizatiti kumaliza topic zake kabla muda hujawa watupa mkono, fimbo...
Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii Nguli si barani tu bali duniani kwa ujumla, kwa mfano, Shilole+UCHEBE, Wema Sepenga, Wolper, Aunt Ezekiel+Moses Iyobo, Steve Nyerere, Single Mtambalike, JB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.