Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

sisalimii leo Huyu kijana anajulika sana mwazo watu hawakuwa wanamuelewa sasa baada ya kumaliza chuo pale UDSM ndipo akapata mpenyo wa kujulikana mwazoni watu walikuwa hawamuelewei kabisa...
12 Reactions
125 Replies
15K Views
Moja kwa Moja.. Msanii maarufu Justin Bieber ameshea video kwenye account yake ya instagram akieleza hali hiyo iliyompata inayosababishwa na virus aitwae 'Varicella zoster' ambao hushambulia...
9 Reactions
50 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa Mhandisi wa Twitter aliyezungumza na BBC kwa sharti la kutotajwa, amesema Mfanyabiashara huyo anayemiliki Kampuni za #SpaceX, #Tesla, Twitter, #Neuralink na #TheBoring hutembea na...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Unaemuita brother, nae ana brother wake[emoji4]. Kelvin hart- 5.2ft Dwayne johnson- 6.5ft Shaq O'Neil- 7.1 ft Yao Ming - 7.6 ft
17 Reactions
66 Replies
4K Views
May you be gifted with life’s biggest joys and never-ending bliss. After all, you yourself are a gift to earth, so you deserve the best. Happy birthday Meeyah Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Wanabodi, Leo ni kumbukumbu ya miaka 10 ya kifo cha mtangazaji huyu mwanamke wa RTD baadaye TBC, Halima Mchuka, aliyefariki siku kama ya leo, miaka 10 iliyopita. Huyu ndiye Mtangazaji mwanamke...
9 Reactions
14 Replies
6K Views
Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yaani umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako Warumi nina...
39 Reactions
208 Replies
32K Views
Kampuni kubwa ya mavazi ya Adidas imevunja mahusiano ya kibiashara na rapa Ye, anayejulikana kama Kanye West, na kusema "Haivumilii chuki dhidi ya Wayahudi na matamshi yoyote ya chuki"...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Kampuni ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata hasara ya Pauni Milioni 450. Adidas inatarajiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makosa ya kimatibabu yaligharimu uhai wake Mwaka 2005 Stella Obasanjo mke obasanjo (aliyekuwa rais wa nigeria) akiwa anakaribia kusherekea birthday yake ya kutimiza miaka 60.. aliamua kusafiri...
16 Reactions
27 Replies
5K Views
Huyu kijana alitamba sana kipindi cha nyuma kwenye kwenye shindano la kusaka vipaji vya kuimba BSS. Kutoka na kupiga guitar kwa umaridadi mkubwa na kuimba vizuri kulimfanya ajizolee mashabiki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wayne Rooney’s son Kai says he sees himself playing in the Premier League in 10 years time - and that his biggest inspiration is his dad. The 13-year-old is currently in Man United’s academy...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Siku ya jumanne tarehe 28 Paula mtoto wa Pfunky na Kajala ameachana na ukapera rasmi baada ya kufunga Ndoa na raia wa Nigeria ambae anaishi Dubai anayeitwa Ally. Mungu amtangulie maana shule...
27 Reactions
113 Replies
12K Views
Salaam Wakuu, Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana kwenye Insta Story ya Diamond amepost wimbo wa Alikiba. Je, uhasama wao umeisha au?
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Wesley Snipe 60, Will Smith 54, Eddie Murphy 61, Martine lawrence 57.
46 Reactions
103 Replies
9K Views
Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani. Inavyoonyesha WCB hawakwepeki...
9 Reactions
58 Replies
7K Views
Mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi Pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii Jodevi wa ngurumo za upako...
14 Reactions
195 Replies
55K Views
Kwa mujibu wa makubaliano ya Talaka, Nyota huyo wa R&B atabaki na nyumba 3 kati ya 4 walizokuwa nazo, na kiasi hicho cha fedha atalipwa mzazi mwenzake, Crystal Renay ili kuweka usawa wa mali...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Kama unabisha nitajie DJ anayejua kuichezea mixer kuliko huyu
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom