Hongera Paula Majani ukawe na Ndoa ya kheri

reymage

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
11,913
27,948
1678052848626.jpeg

Siku ya jumanne tarehe 28 Paula mtoto wa Pfunky na Kajala ameachana na ukapera rasmi baada ya kufunga Ndoa na raia wa Nigeria ambae anaishi Dubai anayeitwa Ally.

Mungu amtangulie maana shule ilimshinda mapema kabisaa mwanetu nadhani kwenye Ndoa atatulia Sasa na Bora ameachana na drama za wasanii za wabongo.

Namuombea akawe mke mwema na mama Bora wa familia yake Huko aendako,akawe mjenzi wa nyumba sio mmbomozi wa familia.

Akitaka Ndoa yake idumu aige mfano wa wasanii wa zamani kama Caty na Nina wameolewa wametulia hatuskiaa drama Wala kuachwa au yule belina mgeni.

Ndoa haihitaji umaarufu mume mi kiongozi wake akamsikilize na wakasilizane

Nimefurahi mnoo miye ni jambo la kheri sana

Wema nae katolewa barua na bwana whozuu(huu ni umbea ndani ya umbea)

NB:Nyie wakataa Ndoa endeleeni kunyonya Kwa mama zenu wenzenu wanaoaaa dailyyy
 
Kunguru hafugiki. Kama ni ndoa kweli na sio kiki basi ni swala la muda tu tutasikia kalala na baba mkwe wake au mama yake kamtunuku tunda mume wa mwanae

Hako katoto ni kakahaba by genetics.

uzuri bila ya akili adhabu inapata kikojoleo. Nyuchi za haka katoto na mama yake zitafika mbinguni zikiwa right off.
 
Wema hakuna ndoa hapo bali ni sinema zile zile za kuingiza ktk biashara kupitia wasaka habari za watu

Ni sinema kupata kiki tugawane pesa

Yale yale harmonize na sijui Shilole sijui nani mara nikazae uingereza mara Dubai

Yale Yale ya mondi na zuchu

Hakuna jipya...
 
Kunguru hafugiki. Kama ni ndoa kweli na sio kiki basi ni swala la muda tu tutasikia kalala na baba mkwe wake au mama yake kamtunuku tunda mume wa mwanae

Hako katoto ni kakahaba by genetics.

uzuri bila ya akili adhabu inapata kikojoleo. Nyuchi za haka katoto na mama yake zitafika mbinguni zikiwa right off.
Kuamua tu ujue Kuna walotulia kwenye Ndoa japo watu walidhani hawatakaa Kwa umri wake ,kama kaolewa Kwa show off atapata shida anatakiwa akatulie alee mume drama aziache hapa hapa bongo
 
Back
Top Bottom