Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue... Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa...
8 Reactions
73 Replies
7K Views
Katika Nchii ya Tanzania linapokuja suala la muziki na wanamuziki wanaweza Kuimba nyimbo Kwa kizungu nadhani harmonize ni mmoja wa wasanii hao, ameweza kutoa hit song nyingi alizoimba kizungu...
12 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwanza nimpongeze Abdul Naseeb kujiita Diamond Platinum. Unapojinenea baraka ni dhahiri utazipata na kinyume chake. Sasa yeye kujiita majina ya vitu vya thamani sana, vya kipekee na vyenye mvuto...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Huyu said comorien alikuwa producer na muimbaji na sehemu kubwa ya wasanii waliofikisha mziki wa old bongo. Jamaa kwenye vinanda alikuwa yupo poa na kutengeneza mabiti kama. Nyimbo za msanii...
10 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa...
6 Reactions
149 Replies
13K Views
Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben. Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho. Kwa upande wangu nampongeza kwa...
15 Reactions
444 Replies
38K Views
Majarida mbalimbali nchini Marekani yameorodhesha rapper 10 ambao wanachaji kiasi kikubwa sana cha pesa kwa ajili ya kumshirikisha kwenye wimbo wako wowote ule. Katika orodha hiyo mkongwe...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha/Kupreview Album...
33 Reactions
266 Replies
31K Views
Limekuwa ni suala linalojirudia kila siku kwa Adam Mchovu kama sio kupiga watu basi kutukana ama kufanya mambo ya fedheha. Kushindwa kwa uongozi wa Clouds Fm kuweza kumdhibiti na kumpa adhabu...
11 Reactions
25 Replies
4K Views
Mwanamuziki huyo wa Nigeria amekosolewa vikali kwenye mitandao ya Kijamii baada ya kuvaa gauni lenye 'ngao' iliyowazuia wahudhuriaji wengine kuonekana na kuona mbele. Gauni hilo jeupe lililokuwa...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa...
14 Reactions
136 Replies
16K Views
Hi good people, Leo wakati msanii Fareed Kubanda - Fid Q yuko ndani ya XXL ya Clouds fm anatambulisha ngoma yake mpya inaitwa Bongo Hip Hop, mtangazaji Adam Mchomvu amekuwa anambana na maswali...
0 Reactions
28 Replies
15K Views
====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na...
5 Reactions
28 Replies
7K Views
For the first time since leaving her former record label, Konde Music Worldwide, artist Anjella has collaborated with musician Izzo Bizness to release a new song titled "It's Okay"
2 Reactions
7 Replies
902 Views
The Cursed Child is all about coming to terms with the legacy of Harry Potter is out now.
5 Reactions
73 Replies
7K Views
Katika mambo yaliyotrend siku ya mwisho wa mwaka 2020 ni suala la mchepuko wa Mwafrika tajiri kuliko wote, Aliko Dangote kuweka hadharani mahusiano yao akidai moyo wake kuvunjwa katika vipande...
12 Reactions
66 Replies
12K Views
Leo nimecheka sana, hii ni Press Conference yake ya pili naiangalia anazungumzia Katiba Mpya na kumjibu Lema mambo ya Bodaboda naona kama ni Comedian. Hapo nyuma niliangalia nyingine akitoa...
1 Reactions
4 Replies
846 Views
Wakuu kwema? Darasa na Stamina at their peak nani hatari zaidi? Nani ana punchline nzito, ni nani mkali zaidi linapokuja suala la Hip Hop? Stamina Vs Darasa. #Forgive Me.
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Balozi wa Njaa tokea Tanzania. Flaviana Matata. Mimi sijapenda hizi picha aisee huyu model au ? Daah kweli kakosa ubunifu vazi gani sasa... uongo dhambi kachoka kiakili. SEMA UMEUPIGA MWINGI...
6 Reactions
91 Replies
9K Views
Back
Top Bottom