Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

92-year-old media mogul Rupert Murdoch is set to marry for a fifth time. He recently got engaged to 66-year-old Ann Lesley Smith - just months after his divorce with his fourth wife, Jerry Hall...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Salaam sana wana Jamiiforum Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga. Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania...
25 Reactions
207 Replies
25K Views
Wakuu kuna wakati ukweli lazima usemwe. Mambo ya kusema mtu aheshimiwe kwa kuwa alikuwa anatengeneza beats nzuri hizo ni heshima za uoga. P Funk ambaye kiukweli zaidi ya kufanya production ya...
53 Reactions
374 Replies
28K Views
Kumbe dj Sonyorita ni kuku wa kienyeji nimependa shanga zake. ==== Hapa chini ni Mahojiano ya DJ Sinyorita na Gazeti la Mwananchi Dj Sinyorita kutoka XXL mpaka redioni kwako Jumamosi, Machi...
6 Reactions
243 Replies
25K Views
Muunganiko wa Nacha na Stamina nahisi ni mzuri zaidi kwa sasa Tazama pini hili
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022; 1. Pascal Mayalla 2. MamaSamia2025 3. Etwege 4. johnthebaptist 5...
10 Reactions
81 Replies
5K Views
Boshoo kama upo humu hii ni yako.. Style yako ya kurap na uwandishi bado ni moja tu. Tangu....atoke Tanga hadi kwenda dar kutafuta tobo bado ni hivyohivyo tu.. Clouds Media wanambeba lakini...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zetu waislam, huyu jamaa sasa mshaurini akiwa katika ibada apunguze kukengeuka na ushamba wake usiomuisha. Kwenye inada ya Umra huko Mecca ameonekana akiwa airpods zake. Huu sasa ni ushamba...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Tabibu Year si nikuambia karma iko real ila haukutaka kunisikia ujeuri na ufedhuli wako ikopelekea hivyo wewe ni ulimuovertake yule bwana pale maeneo kutokana na pesa zako then ukamchukua malkia...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Huyu jamaa kwa kipindi kifupi ameweza kuwa mwanamuziki maarufu na mwenye mafanikio duniani. Kafanya shows nyingi, kajaza watu kwenye show zake na mengineo mengi. Je, siri ya kufanikiwa kwake ni...
8 Reactions
82 Replies
7K Views
Nyota wa sinema Bongo, Jackline Wolper ameibuka na kutoa neno la kifamilia kwamba, mwanaume atakayeweza kumpa kibendi, yeye atamkirimia kwa kumjengea nyumba ya kisasa yenye mahitaji muhimu ya...
4 Reactions
129 Replies
19K Views
Unamsujudia vipi MWANADAMU mwenzako 👇 sijui ulimbukeni au ustar ndo unamuendesha. Wamakonde manafeli wapi?
6 Reactions
99 Replies
12K Views
Laiti ningekuwa namfatilia huyu jamaa ningejaribu kumsifia na kumkosoa....kwa popote nlipokuwa namwangalia. Hivi wakuu anagusa zile Level za kina Joti, Idriss,Jaymond, Nalimi , Bro K , MauFundi...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana...
9 Reactions
135 Replies
8K Views
Hatari na nusu. Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha...
10 Reactions
59 Replies
7K Views
Wasanii mbalimbali wamekua wakitoa tungo kuwasifia wazazi wao hasa mama. Hakika upendo wa mama ni wakipekee sana, mama anambeba mtoto miezi 9 anamlea na anavumilia mengi mpaka mtoto anakua mtu...
3 Reactions
128 Replies
14K Views
Nimebahatika kuitazama video ya wimbo wa Meja Kunta aliowashirikisha Marioo na Mabantu ,tuongeeeni tu ukweli video ni kali mno yani haichoshi kuitazama. Uwepo wa Marioo kwenye huu wimbo umezidi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Selena Gomez becomes the first woman in history to surpass 400 million followers on Instagram.
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue... Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa...
8 Reactions
73 Replies
7K Views
Katika Nchii ya Tanzania linapokuja suala la muziki na wanamuziki wanaweza Kuimba nyimbo Kwa kizungu nadhani harmonize ni mmoja wa wasanii hao, ameweza kutoa hit song nyingi alizoimba kizungu...
12 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom