Izzo Bizness Ft Anjella – It’s Okay

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
13,580
18,618
1678784361827.png

For the first time since leaving her former record label, Konde Music Worldwide, artist Anjella has collaborated with musician Izzo Bizness to release a new song titled "It's Okay"

Izo alitoaga wimbo wa mapenzi kaimba na Barnaba na Shaa.. Dah ile ngoma noma.

Na ule mwingine wa kigumu kaimba na Suma Lee.

Mbali na izo nyimbo sijawahi muelewa.
Nakumbuka huo mwaka anatoa hyo ngoma na barnaba na shaa ilitakiwa kabsa tuzo za kili achukue kabsa yy pamoja na quick rocka ft ngwear ila waliwabania tu ngoma zilikua kali sana 2013- au 2012 ile
 
Nakumbuka huo mwaka anatoa hyo ngoma na barnaba na shaa ilitakiwa kabsa tuzo za kili achukue kabsa yy pamoja na quick rocka ft ngwear ila waliwabania tu ngoma zilikua kali sana 2013- au 2012 ile
Ilo la Ngwea na Quick Rocka aisee 🙌🙌
 
Back
Top Bottom