Huyu Dkt. Muchunguzi anafanya shughuli gani?

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
550
786
Leo nimecheka sana, hii ni Press Conference yake ya pili naiangalia anazungumzia Katiba Mpya na kumjibu Lema mambo ya Bodaboda naona kama ni Comedian.

Hapo nyuma niliangalia nyingine akitoa Hitimisho la Mgogoro wa Mchungaji Kimaro wa Kijitonyama nilimaliza kuangalia nikiwa Mgonjwa kwa kucheka sana.

Kwa wanaomfahamu hivi huyu mtu nani na anafanya shughuli gani, ni kweli yuko serious na hizi Press conference zake au kuna watu wanamtuma tu.
 
Leo nimecheka sana,Hii ni Press Conference yake ya pili naiangalia anazungumzia Katiba Mpya na kumjibu Lema mambo ya Bodaboda naona kama ni Comedian.

Hapo nyuma niliangalia nyingine akitoa Hitimisho la Mgogoro wa Mchungaji Kimaro wa Kijitonyama nilimaliza kuangalia nikiwa Mgonjwa kwa kucheka sana.

Kwa wanaomfahamu hivi huyu mtu nani na anafanya shughuli gani,ni kweli yuko serious na hizi Press conference zake au kuna watu wanamtuma tu.

Amefanana na Baba yake Beyonce sana.
 
Ukiona unatoa tamko unajibiwa kihuni na wahuni ujue nawewe umeongea uhuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom