Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wadau wa bongo fleva, Kila mara anaongelewa. Diamond, ali kiba, Harmonize, Rayvanny, Nandy na Zuchu. Huyu dogo mario haongelewi sana. Leo nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo zake za album yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya mvua kusababisha utelezi uliotuletea maumivu makali hapo Chang'ombe kwa mzee wa Lupaso, ghafla nimemkumbuka sana shemeji yenu Mariah Carey. Tangu mechi iishe nimejifungia huku uwanja wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia wasanii wenye followers Wengi nimeshangaa kuona Zuchu kazidiwa followers na wasanii Wengi wa kike lakini wasanii hao Wana "struggle"... kulinganisha na Zuchu ..imenishangaza...
11 Reactions
50 Replies
6K Views
Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya...
15 Reactions
68 Replies
9K Views
Marijani Rajabu Umahiri mkubwa wa kupiga ala tofauti tofauti za Muziki kutoka kwa magwiji wa muziki Africa kipindi hicho kama; Sory Kandia Koutare toka huko guinea na Tabu Ley Rochereau (Tabu...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba B Dozen ameondoka EFM na kutaka kurudi Clouds. Hata hivyo hawajareach agreement na Clouds, at the same time Wasafi wanamnyatia. Oscar Oscar ameondoka EFM...
13 Reactions
247 Replies
34K Views
Mtoto kaipokea Mirathi kutoka kwa mama yake na anaisimamia vema kabisa bila shida yeyote. Maisha ni kupanga,ukiamua kumsomesha mtoto ili ndiyo uwe urithi wake wewe msomeshe, ikiwa una chembe...
11 Reactions
60 Replies
5K Views
Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha. Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao...
14 Reactions
52 Replies
6K Views
Aliyekuwa Mtangazaji wa EFM Oscar Oscar AKA mzee wa Kaliua ametambulishwa rasmi Wasafi FM ambapo sasa atakuwa na kipindi chake kitakachokuwa kinaitwa Jana na leo, kikiruka muda uliokuwa wa kipindi...
4 Reactions
43 Replies
7K Views
Tayari sasa p Diddy ameshayaaga mashindano. Huwa nawaonea huruma sana wale watu ambao hupenda kujiita majina ya watu ambao ni celebrities bila kujua huyo mtu ni wa aina gani. Kuna kipindi wale...
10 Reactions
119 Replies
15K Views
🚨🧵 Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia (VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani) Kama...
8 Reactions
51 Replies
5K Views
Sio yule Chris Brown wa kipindi ile na zile hit songs zake, kama kiss kiss, turn up the music, transform ya, international love aloshirikishwa na pitbull, She ain't you, no air, loyal, na hit song...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Female artist with the most songs with over 100 million on Spotify
1 Reactions
8 Replies
942 Views
Nianze kwa kuwapongeza WCB kwa hatua waliyofikia kuisimamisha lebo na kuwa lebo bora zaidi Afrika Mashariki, na moja ya lebo bora Afrika. Niwapongeze kwa kuweza kuviinua vipaji ambavyo vilikuwa...
11 Reactions
50 Replies
16K Views
Kundi hilo la Muziki linaloundwa na Mastaa wa kiume 4 kutoka Kenya, Bien-Aime Baraza, Willis Chimano, Polycarp Otieno na Savara Mudigi, limetangaza kuwa litatengana baada ya kuwa pamoja kwa miaka...
0 Reactions
167 Replies
11K Views
Rapa Mkongwe na Mbunge wa zamani wa Mikumi (CHADEMA) Joseph Haule aka Profesa Jay ameanza mpango maalumu wa kurudisha mwili wake baada ya kuugua kwa muda mrefu (takriban mwaka mmoja). Jay amepost...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika kuenzi miaka 50 ya Hip Hop duniani platform mbalimbali zimekua zinatoa list zao kuhusu Hip Hop Sasa Sportfy wametoa list ya beat kali za muda wote Spotify’s 50 Greatest Hip-Hop Beats of...
8 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari zenu wanajukwaa. Niende madani hapo juu. Madam Wema Sepetu, binti asiyechuja wala kukaukiwa matukio, aliahidi kuanzisha kituo cha Radio cha Madam FM ifikapo mwezi wa pili 2017. Ahadi hii...
3 Reactions
40 Replies
8K Views
Mwadada mwenye miaka 27 hilda bacci ameweza kuvunja record ya kupika bila kupumzika kwa masaa 100. GUINNESS WORLD RECORD OF LONGEST COOKING TIME Pls don't get me wrong oh. Am not trying to...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Umetoa bonge la wimbo, 'Mahaba'. Ni booonge la wimbo, HAKUNA UBISHI. Views zinapanda tu bila kushuka mwezi wa tatu huu sasa. Ingawa shooting si bora (kwa mtazamo wangu lakini watu wameipenda hivyo...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom