Miss Lolo wa Clouds TV na ujumbe wa "Your boyfriend Loves me"

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,232
6,479
Nipo hapa natazama the spark ya Clouds Tv kinachorushwa kila siku za wiki saa 11 jioni hadi 12.

Namwona Miss Lolo ambaye ni Mtangazaji wa kipindi amevaa blausi ya kijani mpauko kimeabdikwa "Your boyfriend Loves me".

Maana yake Rafiki yako wa kiume ananipenda. Watangazaji wa Tv huwa hawabahatishi. Hapa kuna Mtoto wa kike anarushiwa jiwe au kupashwa ujumbe.

Ni nani huyu anafikishiwa ujumbe na Miss Lolo?
 
Sahani iliyofunikwa, kilichomo kimesitirika...😑
Ndiomaana nasemaga ridhaa ya wazee ni fimbo..😊
 
Nipo hapa natazama the spark ya Clouds Tv kinachorushwa kila siku za wiki saa 11 jioni hadi 12.

Namwona Miss Lolo ambaye ni Mtangazaji wa kipindi amevaa blausi ya kijani mpauko kimeabdikwa "Your boyfriend Loves me".

Maana yake Rafiki yako wa kiume ananipenda. Watangazaji wa Tv huwa hawabahatishi. Hapa kuna Mtoto wa kike anarushiwa jiwe au kupashwa ujumbe.

Ni nani huyu anafikishiwa ujumbe na Miss Lolo?
Sisi tupo mikoani huku , ngoja waje watu wa huko Dar wakupe huo ubuyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom