Msanii maarufu wa kimarekani, Celine Dion ameahirisha shoo zake zote kwa mwaka 2023-24 akisema hayuko imara vya kutosha kutokana na ugonjwa unaomkabili kwenye mfumo wa neva.
"Nimekuwa...
KARIBUNI OLD SCHOOL HAPA. Kabla hujawaza kuhusu Sir Nature, Dully,Q. Chief,T.i.d, Paulina Zongo, Mr Paul n.k. Linapokuja suala la Chorus.
Hivi uliwahi kumfikiria malikia Lady Jaydee linapokuja...
Wafuatao ni watangazaji wa Radio Free Africa (RFA). Nilikuwa shabiki mkubwa wa RFA kwa maana ilijitahidi kuziba mapungufu ya RTD! Sasa hivi sera za radio hii zimebadilika sana na kukosa mwelekeo...
Vicky Kamata Afunga Ndoa na Dk. Likwelile
Dk Servacius Likwelile.
Dar es Salaam, Geita-Tanzania. Mbunge wa Viti Maalamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vicky Kamata amefunga ndoa na Katibu...
Sina Maneno meengi
Mkiambiwa huwa HAMSIKIII..
=====
Mtu yeyote atakaekuja kuniskia nasema nampenda mwanamke yeyote basi mtu uyo kama nipo naye karibu yani uso kwa uso basi naruhusu anipige ata...
Mwigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya anasema huwa anaogea maziwa ili aweze kulinda na kutunza ngozi yake ili iendelee kuwa na mvuto. Ameyasema hayo akiwa kituo cha radio cha Clouds Fm.
Nini maoni...
Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa
1. Hafungishi ndoa?
2. Hafanyi ibada ya mazishi?
3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?
Sijawahi jaribu kufuatilia historia ya maisha yake, lakini nilisikia eti alikufa kwa kufungiwa chumbani kwa siku 12,
Mke wake siku ya 8 harufu ndani ikazidi na alipofungua mlango akakutana na...
Rapa na muimbaji wa Marekani Desiigner yupo kwenye kifungo cha nje na uangalizi kwa miaka miwili, kufanya kazi za kijamii na kulipa faini ya Tsh Milioni 12,525,000 kwa kosa la kujichua...
Hawa mastaa Hawaa zama hizi wamevurugwaa sana, ingawa wanaweza imba mashairi matamu juu ya mapenzi. Lakini, kwenye utendaji wako sifurii sana. Sio wasanii wa nje au wa bongoo wotee mahusiano yao...
Mwanamziki maarufu kutoka Colombia Shakira ambaye walitengana na mpenzi wake aliyekuwa beki wa timu ya mpira Barcelona pique machale yalimcheza pique alikuwa anamcheat baada ya kukuta Strawberry...
Mshambuliaji mashuhuri duniani Ronaldo de Lima amebatizwa katika Kanisa la Sao Jose do Jardim Europa Parish huko Sao Paulo.
Ronaldo de Lima ame post picha kwenye Instagram page yake na kusema...
Baada ya kutrend na sakata la kuombwa Ngono,Leo msanii Ruby ameona sio mbaya akatumia upepo huo kutoa wimbo unaoitwa “YATAPITA” na ametumia muda huu kuwaomba mumsapoti….
Pamoja na hilo imeonekana...
Ni msanii mwenye kipaji kikubwa mno. Nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kali kama:
1. Mama Neema
2. Binti kimanzi ft Bushoke
3. Ya nini malumbano
4. Tamaa mbaya nk.
It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation.
Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine...
Niende kwenye mada Lady Jaydee katoa wimbo mpya unaitwa "Mambo Matano". Kwa anaemjua Lina Sanga na nyimbo zake, kama anaujua mziki hasa melodies, na mengineyo nadhani itakuwa topic of the town...
Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika...