Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kuna huyu kijana anaitwa Gasper Comic kwa kweli yuko vizuri sana lakini ni kama jamii haimuoni hivi Most of the times anazungumzia masuala Tanzania kwa kutumia jina la Malawi Mwamba yuko vizuri...
8 Reactions
32 Replies
783 Views
Week end hii ilikuwa poa sana moja ya siku ambayo mashabiki wa Hip Hop Tanzania tuliisubiria sana Jongwe na wasanii wengine walikuwepo kwenye usiku wa Prof Jay kutambua mchango wake katika game...
14 Reactions
39 Replies
899 Views
Niki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae. Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno...
6 Reactions
54 Replies
1K Views
Mwimbaji wa Marekani, D4vd, amekamatwa kwa tuhuma za kumuua binti mwenye umri wa miaka 14 ambaye alitoweka mwaka jana. Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa chini ya uchunguzi na jury...
3 Reactions
23 Replies
641 Views
Nipo upande wa Madam Ritha Paulsen Media za Bongo ni Uchwara Uchwara. ====================== Mdau wa burudani , Madam Ritha, ametumia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii kutoa ombi rasmi la...
10 Reactions
28 Replies
865 Views
Matonya amesema "inamuumiza sana na siwezi kuisema kiukubwa lakini naweza kusema hiyo picha mbaya ya ubakaji ndio inaniumiza zaidi kwa kweli walioamua kuiweka hivyo au kuipanga hivyo mpaka...
1 Reactions
12 Replies
579 Views
UGOMVI WA SISTER P & ZAY B "Tangu zamani nilikuwa naficha lakini leo itabidi niseme ukweli, Mimi na Zay B hazijawahi kuiva, haziivi na haziji kuiva yaani yule mtoto hapana hatuendani, na yeye Zay...
0 Reactions
3 Replies
392 Views
Kwa wapenzi wa Movies za action za Mishen (Mission) Impossible hii sura ama huyu mwigizaji siyo geni. Muigizaji maarufu Mmrekani mweusi anayependwa sana (beloved) Ving Rhames 66 yrs amelazwa...
7 Reactions
14 Replies
512 Views
Angeendele kuishi Tanzania angekuwa anatembelea mkongojo kama siyo kutangulia mbele ya haki.
6 Reactions
13 Replies
760 Views
Kuna bendi moja kongwe ya muziki wa dansi, sitaitaja jina. Wanamuziki wake walipukutika kama Uyoga ndani ya miongo miwili ni kama walikwisha. Unajua sababu? Jimama la Kimanyema mixer Kiarabu...
47 Reactions
273 Replies
24K Views
Ni watangazaji wa mwanzoni kabisa wakati ITV inaanzishwa walinogesha mno kipindi cha muziki muziki. Sunday yuko BBC kama sikosei ila Monica sijui alipo. Nawatakia mafanikio mema.
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Wana JF, habari zenu. Zanzibar ni kisiwa cha marashi, sifa yake duniani kote ni fukwe safi na utalii wa kiwango cha juu. Lakini kwa mrembo Mmarekani Ashlee Jenae (31), ambaye amejijengea...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
LAGOS — The Ologolo branch of Harvesters International Christian Centre has surged into the spotlight as online conversations intensify around its lead pastor, Bolaji Idowu, following a series of...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Nimeangalia series nyingi za Kikorea lakini sijawahi kuona jamaa ambaye anaweza kuvaa character ya Ujambazi na kuwa na kiherehere kama huyu jamaa Huyu jamaa kaigiza kwenye East Of Eden, Secret...
2 Reactions
3 Replies
417 Views
Msanii Mkongwe wa Filamu Nchini Hashim Kambi amefariki dunia hii leo April 27, 2026 ambapo taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msemaji wa Shirikisho la Filamu Nchini Coletha Raymond...
17 Reactions
68 Replies
3K Views
Umaarufu kitaifa kwenye sanaa, michezo, mitandaoni, n.k. Tuelewane kidogo, wawe ni vijana wasiozidi miaka 40 walioishi na kukulia huko, sio wazazi kutokea huko. 1. Katavi 2. Mara 3. Lindi 4...
3 Reactions
33 Replies
979 Views
Habari nataka kujua huyu msanii SPARK yupo wapi? Je, anaendelea na muziki au ameacha? Nakumbuka alitamba sana na Nyimbo yake ya USINIACHE?
2 Reactions
35 Replies
8K Views
Ukwaju wa kitambo Leo nimebahatika kukutana na msanii Kigwema Bosco kwa jina Maarufu anafahamika kama kigwema. Ni msanii wa zamani wa Bongo Fleva. Naimani unatamkumbuka kwa ngoma kali kama Vile...
1 Reactions
12 Replies
520 Views
BREAKING NEWS: Pastor Jerry Eze Trends Amid Debate Over Publicized Charity Works Nigeria’s social media landscape is once again abuzz as Pastor Jerry Eze, convener of the widely followed NSPPD...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…