Angekuwa anatembelea mkongojo

Angekuwa anatembelea mkongojo

Huyu si mzee Magali yule mwigizaji au? Kwanini unasema angekua anatembelea magongo huku bongo?
 
Mbona mzee chillo yupo fiti ijapokuwa amemzidi sana mzee magari na hatembelei mkongojo? Kutembelea Mkongojo hakuhusiani na umri bali ugonjwa tu ukikushika hata ukiwa na 18 utatembelea.
 
Back
Top Bottom