Matonya: Nimelaani vikali kupewa kesi ya ubakaji

Matonya: Nimelaani vikali kupewa kesi ya ubakaji

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,908
Reaction score
6,494
Matonya amesema "inamuumiza sana na siwezi kuisema kiukubwa lakini naweza kusema hiyo picha mbaya ya ubakaji ndio inaniumiza zaidi kwa kweli walioamua kuiweka hivyo au kuipanga hivyo mpaka ikanikuta nipo kwenye gereza la Shimo La Tewa nimelaani vikali sana na Mwenyezi Mungu namuomba sana anilinde, kama ni maslai ya mtu ameyapanga mimi kwanza namuachia Mungu"

Lakini nashukuru sana kwa Dua na Maombi ndugu zangu

Soma Pia:
Matonya ameyazungumza hayo kwenye kipindi cha The Switch cha Wasafi FM leo Aprili 29,2026

 
Matonya amesema inamuumiza sana na siwezi kuisema kiukubwa lakini naweza kusema hiyo picha mbaya ya ubakaji ndio inaniumiza zaidi kwa kweli walioamua kuiweka hivyo au kuipanga hivyo mpaka ikanikuta nipo kwenye gereza la shimolatewa nimelaani vikali sana na Mwenyezi Mungu namuomba sana anilinde, kama ni maslai ya mtu ameyapanga mimi kwanza namuachia Mungu

Lakini nashukuru sana kwa Dua na Maombi ndugu zangu
Yaani kwa jinsi Mamba 24 alivyokuelezea pindi ukilewa ,nakushauri usilewe ukifanya mtoko ,pendelea kunywa ukiwa nyumbani kwako otherwise utaenda kuozea jela.
 
Akili za baadhi ya wanaume wenzetu wa Tanzania wanafikiri wao ni superior juu ya wanawake, mifano tunayo hata humu Jamii Forums, utaona jinsi gani wanavyowaongelea wanawake. Mnapovuka mipaka ya nchi hizo tabia mziache Tanzania la sivyo mtafungwa
 
Nakumbuka miaka flani hivi aliitwa kwenye Live interview EATV kila ijumaa mchana walikuwa na segment ya kuwapa airtime wasanii wa zamani
Jamaa alikuja amelewa chakari ilikuwa aibu anaongea ovyo mpaka watangazaji wakaomba radhi na wakakatisha interview yenyewe.
 
Dudu hana tofauti na Internet ya Starlink, ni direct from the satellites, haina kumbwela.
Tuna mfanyakazi mwenzetu ivo ivo. Akiwa hajalewa fresh ana siri uyo. Ila akilewa friji haligandishi. Kwenye sherehe za kazini au harusi za wafanyakazi tunamzuia kabisa kugusa kilevi. Maana atasema vyote.
 
Akili za baadhi ya wanaume wenzetu wa Tanzania wanafikiri wao ni superior juu ya wanawake, mifano tunayo hata humu Jamii Forums, utaona jinsi gani wanavyowaongelea wanawake. Mnapovuka mipaka ya nchi hizo tabia mziache Tanzania la sivyo mtafungwa
Haswaaa
 
Back
Top Bottom