Kwanini Harmonize hapewi airtime kubwa Baada ya kushinda tuzo 3 USA

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,781
24,213
Msanii wa muziki Tanzania, Harmonize ameshinda tuzo tatu (3) Nchini Marekani usiku wa kuamkia juzi. Msanii huyo ameshinda tuzo hizo tatu za (AEUSA) katika vipengele vifuatavyo:

  • Artist of the Year 2023
  • Best Music Video (Single Again)
  • King of the East and Bongo, Afro Bongo Flavour

#monmedia
#MonEnews

NB Kwanini jamaa kapiga hat trick ya tuzo za kimataifa pale mjini USA...lkni media .... social network haziongelei hili
1700118139799.jpg
 
Nafikiri izo TUZO SIO MAARUFU SANA ILA KAMA ANGESHINDA ZA MTV EMA AU TRACE AU BET LAZIMA WANGEMPA AIRTIME
Wanasema tu kashinda tuzo marekani ila hawasemi tuzo zipi ina maana na wenyewe wanaona aibu kutaja hizo tuzo.

Tuzo ambazo yy ndio msanii pekee aliyepost, tuzo ambazo akatengenezewa na category hili ashinde, tuzo ya King of the East alikuwa akishandana na wasanii gani
 
Back
Top Bottom