Ukizungumzia waimba taarabu wa kike wenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni basi Fatma Mahmoud Nyoro maarufu kama Fatma Mcharuko ni namba one.
Waimba taarabu wengi wanapata shida kugandamizia/ kuimba...
Habari za wakati huu wadau wa jukwaa hili.
Nilikuwa napitia katika mitandao ya kijamii, nikakutana na hii habari ya huyu mlimbwende Angelina Jolie.
Ya kwamba aliadopt watoto, mmoja wapo anatokea...
Hatimaye mfalme wa taarabu Alhaji Mzee Yusuph ametangaza rasmi ujio wake kwa mara nyingine kwenye muziki wa taarabu.
Kwa kifupi tangu mfalme akae nje ya muziki wa taarabu , muziki wa taarabu...
Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye...
Kuna ubishi wa chini chini kati ya hawa mabinti wawili machachari ambao ni zao la Jahazi Modern taarab chini ya aliyekuwa mkurugenzi wao mfalme Mzee Yusuph ,je yupi ni mkali zaidi kuliko...
Miongoni mwa vitu vinavyosubiriwa kwa hamu kwa wapenzi wa burudani ya muziki ni ujio wa mfalme Mzee Yusuph.
Tangu mfalme akae mbali na muziki wa taarabu muziki huo ulikuwa unakaribia ukingoni...
Watu baadhi Wanasema Jamaa amekonda Ila kiufupi hii issue yake jamaa yupo busy Sana so tuendelee kumsapoti Nakumpa constructive criticism
The guy is really hustler
Wanabodi
Leo saa 11:30 alfajiri nimepokea simu ya Da Mwajuma Mchuka kunijulisha kuhusu huu msiba!.
Hii ni thread ya Tribute kuhusu nilivyomfahamu marehemu, Halima Mchuka.
Kwanza jikumbushe sauti...
Christopher Lattore Wallace, A.K.A The Notorious B.I.G. au Biggie Smalls, alikuwa rapper na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani.
Anachukuliwa kuwa mmoja wa rappers wakubwa na wenye ushawishi zaidi...
Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora kutoka Afrika kwa mara ya 3 katika mashindano ya MTV Europe Music Award 2023 ( MTVEMA2023 )
diamond amewashinda
Asake, BurnaBoy (Nigeria)...
Linaletwa balaa jipya mjini, naweza sema ile kiu ya kuona wasanii wetu kwenye majukwaa mazito kama kima Rema sasa inaenda kukatwa. Topnotch talent sio mbambamba.
Let's count
God bless WCB
Wale wapenzi wa sinema ya john wick kama mlipata kumtazama mhudumu wa hotel inayohudumia kikundi cha siri cha mauaji na chama kikubwa.
Bwana Lance Reddick alitumia part yake kuanzia filamu ya...
Mbunge wa zamani wa Mikumi na Msanii Staa Joseph Haule maarufu Prof. Jay @professorjaytz amesema sauti yake imebadilika kidogo kwakuwa Madaktari wa Muhimbili Hospital walimtoboa koo ili wavute...
Muonekano wa sasa wa Aunty Ezekiel umetushtua watu wengi sana
Japo Aunty alikuwa na kishepu fulani hivi tangu hapo awali ila kwa sasa mmmmmmmmmmh surgery imehusika hapa tusidanganyanee 😂😂😂😂😂😂...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Msanii Whozu kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, pia limemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na limemfungia...
Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi!
Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala...
Huyu mwanadada Husna Iddi (Sajent) ambaye ni muigizaji wa bongo muvi ambaye pia alishawahi kushiriki mashindano ya kimwana manywele na miss singida miaka hiyo ya 2000 anadhani watanzania...
Nimeutafuta huu wimbo kila sehemu sijaupata hata video yake haipo ni kwa sababu gani? Pia nimegundua Mr. Blue hana account katika hizi platform kama Spotify, Boomplay, Youtube nk kwanin hajapenda...
Baada ya Francis Nganou kumtandika Lineal Champion ambaye pia ni WBC Super heavyweight champion of the world Tyson Fury (Gypsy king) licha ya kufanyiwa dhuluma ya waziwazi na majaji naona Francis...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.