BIG Brother Africa star Munyaradzi Chidzonga has received US$300,000 from President Robert Mugabe following his disappointment of controversially missing out on winning the reality TV show...
Wadau mambo vipi?kabla ya serikali ya awamu ya nne kuingia madarakani kuna watanzania ambao walikuwa hawajulikani kabisa.ila baada ya kushika nyadhifa mbalimbali wamejulikana kwa watanzania...
I think Mwisho's defeat in Big Brother is mainly because Nigerians are 'Money Mongers' and raliied themselves to vote for their countryman. That guy 'Uti' led a fake and artificial life in the...
Mwenzenu muoga lakini nasikia hawa watu ni maarufu humu mjini ni couple, sasa huyu mume ameacha chakula ya mtoto wake inaangaliwa na kila mtu sijui ndio fashion!!!
jamani me huyu mtengeneza nyimbo wa fish crab studio (producer) me naona kazidi kila nyimbo anayotengeneza lazima atokee kwenye video yake.sasa nini anajitangaza kwa njia hiyo au ndo...
Nijuzeni jamani, hii style ya kuachia nywele za kwapa ni fashion au uchafu?kama ndio fashion imeingia niambieni ili na mimi nianze kufuga zangu,maana kama mnavyojua tunaiga maselebu
Huyu msanii alikua anakuja vizuri sana katika vipindi vya ITV na baazi ya picha alizocheza japokua sinyingi lakini movi yake yamwisho niliyoiona nilimuonea huruma tayari walianza kumwelekeza...
"The View" co-hosts Whoopi Goldberg and Joy Behar stormed off the set Thursday during a contentious interview with Fox News host Bill O'Reilly.
As the cast debated whether there should be a...
I have the tower ... Mukesh Ambani's
$1bn pad, pictured under construction
Worlds first $1billion pad
By MARTIN PHILLIPS
Published: Today
Add a comment (44)...
The Facebook phenomenon strikes again, this time helping catapult two new 20-somethings into the ranks of America's richest for the first time and bringing down the average age of America's...
wakuu, kuna uvumi kwamba anti ezekiel ataolewa hivi karibuni!!!
ni vema ikajulikana ni nani atakayefaidiana unyumba na celebrity huyu maisha yao yooooote!!!
mkuu yeyote atakayekuwa na habari za...
nimepata kumwona kwa mara ya kwanza kwenye filamu ya kanumba iitwayo the village pastor akishiriki kama mama mchungaji. lakini kwa habari nilizopata sehemu nyingine, sasa inaniwia vigumu kujua...
wapendwa mkisehrekea sikukuu ya mmungwana napenda niwape pongezi zenu mnavyojitahidi kupigana na maisha kwa upendo na kushirikiana huku mkizitunza siri zenu moyni ...mnapendeza naomba tuwapongeze...
Kwa ambao wamekuwa wakifuatilia harakati za huyu mama watakubaliana nami kuwa haogopi kulisema linalokuwa moyoni mwake. Nimemikia alivyorekodiwa na EA radio akikemea tamko la wajeshi na kuwaponda...