Facebook page ya JK

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
10,969
Points
2,000

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
10,969 2,000
Nafikiri kwa wingu lililotanda sasa nchini Tanzania, nafikiri kuna kila sababu ya kuwepo mjadala wa moja kwa moja kati ya mheshimiwa raisi na wanachama wa JF.

Hapa mheshimwa raisi atakuwa na nafasi ya kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wanachama wa JF na kuyajibu kwa uzito wake na nafikiri ndipo itapoeleweka kwamba JF inajali vichwa vingine vya watanzania.

Hii inawezekana pakiwepo ushirikiano kati ya bwana Salva na wanachama waandamizi (wale Premium) kufanikisha jambo hili na hapo ndipo itakuwa kipimo cha kukomaa kwa demokrasia Tanzania.

Idumu JF.
 

Fisadinumber1

Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
23
Points
0

Fisadinumber1

Member
Joined Feb 26, 2008
23 0
Habari JF?

Nafikiri hii ya JK kufungua profile yake kwenye Facebook ni njia mojawapo ya 'kutrace' members wa JF. Kila mtu atakayeenda kwenye hiyo profile, details zake zitaweza kuonwa na huyo mtu aliyeanzisha profile ya JK.

Facebook wana applications ambazo huweza kuona kila mtu aliyetembelea profile yako na mtu yeyote unaweza ukaweka hiyo application ili uweze jua watu wanaotembelea profile yako. Nimesema hii maana haiingii akilini RAIS wa nchi aweke picha zake facebook, ambayo hutumiwa na watu wengi kutafutana na marafiki zao so that they can keep in touch. Kwani JK anahitaji kutafuta rafiki zake??!!

My fellow Tanzanians, the government is looking for you. Wake up!!
 

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Points
0

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 0
hii thread ni ujinga tu ! nendeni myspace halafu ndio mtaona kila kitu kuanzia page za nyerere, hadi za bush na zinakuwa updated kila siku, sasa huyo nyerere nae ana-update vipi myspace page yake ili hali ndio hivyo tena ?

mjadala ufungwe !
 

Killuminati

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2007
Messages
327
Points
195

Killuminati

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2007
327 195
hii thread ni ujinga tu ! nendeni myspace halafu ndio mtaona kila kitu kuanzia page za nyerere, hadi za bush na zinakuwa updated kila siku, sasa huyo nyerere nae ana-update vipi myspace page yake ili hali ndio hivyo tena ?

mjadala ufungwe !
...true story!!Marehemu kibao wapo hata hi5 na page zao zinakuwa updated!!
 

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
2,260
Points
1,195

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2007
2,260 1,195
Hii ni kanyanga tu, unaweza kujoin facebook in any name you want na kwa JK ,as popular as he is, ungetegemea awe na at least 100 friends na kuna kila dalili kuwa amejoin recently, ningeelewa kama angekuwa amejoin before becoming a president.
 

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
4,142
Points
1,250

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
4,142 1,250
FACEBOOK
http://www.facebook.com/Kikwete#!/Kikwete?v=wall


Suggest to friends
President of Tanzania
Information
Country:
Basic Info
Country:TanzaniaCurrent office

Office:President

Party:CCM

Profile_name: Jakaya KikweteBecome a fan
Detailed info
Website:http://www.jakayakikwete.com
Gender:MaleRelationship status:Married to
Salma Kikwete
Birthday:07 October 1950
Hometown:Bagamoyo
Political views:Moderate
Interests:Basketball, reading, spending time with friends
Education information

University:
Secondary School:

Nini haja ya Mhe. Rais kuwa kwenye Facebook ?..
 

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
2,805
Points
0

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
2,805 0
Ni Njia nzuri ya kufanyia kampeni pia!....technology everywhere watu than kutegemea tv na radio!...watu siku hizi wana spend time online...smart Move mr President...i am your number one supporter!...Bravooo!..tena ngoja niombe friend request!....
 

Forum statistics

Threads 1,391,107
Members 528,361
Posts 34,073,686
Top