Nimempata Upendo Peneza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimempata Upendo Peneza

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Regia Mtema, Feb 17, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wiki chache zilizopita nilijitokeza hadharani nikimtafuta Upendo wa Maisha Plus One katika jukwaa hili la Celebrities.Wengine walinikatisha tamaa wakiniona kama mimi ni fataki,wengine walinitia moyo,na wengine wakaniconnect na binti huyu..Nimewasiliana naye na kufanya appointment naye ya kuonana naye ana kwa ana kwaajili ya shughuli niliyokuwa nataka nifanye naye. I met with her yesterday evening tukazungumza kwa sana.Natarajia kufanya naye shughuli iliniyonifanya nimtafute.Tutakuwa wote Morogoro,Dodoma,Iringa,Arusha na Dar.

  Namshukuru sana Masika na wengineo kwa kuniunganisha naye.Asanteni sana wote.
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Gud at least umetupa feed back,but ni kwajili ya nn ulimtafuta?kama si lazima kujua its ok.
   
 3. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #3
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kuna shughuli fulani nataka kufanya nae...Nitawajulish baadaye.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,794
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  Gender Sensitive ni Mgombea Ubunge Mtarajiwa
  JF Premium Member
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [​IMG] [​IMG]

  basi, tushajua kazi yenyewe!!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  safi sana GS umefanya vizuri kurudi na Feedback jukwaani ...Mnafanya operation ya Zinduka ??;)
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Asante sana FL1.Hatuko kwenye operesheni zinduka tuko kwenye operesheni lala salama.
   
 7. JS

  JS JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,067
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mie sifai kwa shughuli hiyo GS?? Au kuna vigezo maalum??
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,009
  Likes Received: 37,311
  Trophy Points: 280

  Wakubwa hawaulizwi.
  Angetaka tujue angetuambia huko Dodoma , moro Dsm wanazunguka wakifanya nini.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Feb 17, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,878
  Likes Received: 4,414
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kutupa feedback, tunasubiri kujua kuhusu hiyo kazi mnayotaka kufanya
   
 10. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,836
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Bwana awatangulie katika shughuli yenu,na akuepushe HASA WEWE na roho ya kubadili nia iliyokusudiwa!
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Naomba kujiunga kwenye msafara ..fuata nyuki ule asali..sijui hii itakuwa uliwe na nyuki?
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,986
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  Kila la heri GS.
   
 13. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2010
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 2,020
  Likes Received: 717
  Trophy Points: 280
  Good news. Lakini mkuu ingawa inasemwa wakubwa hawaulizwi, ni vyema kugusia malengo ya rendez-vous hiyo na binti celebrity ili angalau tu kufuta hiyo tuhuma kwenye red. Wengine humu posting zao zinaonyesha bado hawaamini kama kuna usalama hapo. [​IMG]
   
 14. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  sometimes fuata nyuki upate manundu
   
 15. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #15
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Unasema umeshaijua kazi.ipi hiyo itaje basi.
   
 16. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,089
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  "Operesheni" tena Mzee?. hii tata kweli!..ndo hiyo shuhuli uliyokuwa ukimtafutia?

  hebu weka wazi bana manake bado kiwingi kimetawala hapa bana !.
   
 17. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,704
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Hongera GS nawatakia kila la heri katika mipango yenu.
   
 18. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #18
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hapana ni kazi maalum Mkuu.Usiogope..Yuko salama 100%
   
 19. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks Gs.. But what is she doin currently? Yuko chuo?
   
 20. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #20
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Asante na wewe kwa kushukuru.Yes,Upendo yuko chuo anachukua Sociology.Ameniambia niwaambie kuwa pia na yeye ni memba wa JF lakini hatumii jina lake halisi.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...