Hasheem Thabeet: no longer a Grizzlies' Player! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hasheem Thabeet: no longer a Grizzlies' Player!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by TANMO, Feb 25, 2011.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mtanzania wa kwanza kucheza katika ligi ya NBA,Hasheem Thabeet aliyekuwa akichezea timu ya Memphis Grizzlies, anatarajiwa kwenda timu ya Houston Rockets ya jijini Houston,Texas katika mabadilishano maalumu baina ya timu hizo mbili.  Katika mabadilishano hayo,mchezaji Shane Battier aliyekuwa akichezea timu anayokwenda Hasheem(Houston Rockets) anajiunga na Memphis Grizzlies.  Maendeleo ya Hasheem katika ligi hiyo ya NBA yamekuwa hayaridhishi. Ana kiwango cha vikapu 1.2 na rebound 1.7 kwa kila mchezo. Hicho ni kiwango cha chini sana kwa mchezaji ambaye alichaguliwa akiwa kama 2nd pick katika draft mwaka 2009.Aliyekuwa 1st pick katika mwaka huo ni Blake Griffin aliyekwenda Los Angeles Clippers.​  Source: BongoCelebrity

  My Take:
  Ng'ombe wa masikini hazai, au msiba wa kujitakia hauna kilio?
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hilo ndo tatizo la wa tz kuridhika kidogo tu kwishney!

  Haya sasa inakula kwake
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Lakini nafikiri kocha wa Grizzlies naye alishindwa kumtumia Hasheem, haiwezekani timu kama Houston Rockets ambayo ina reputation kuubwa tu NBA wakubali kubadilishana kwa 'reject', nadhani kocha wa Houston ameona anaweza kumtumia vipi Hasheem...and we (Tanzanians) can only wish him luck, hoping that he will make us proud!
   
 4. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Kweli kocha wa Grizillies ameshindwa kumtumia kabisa HT.

  Ila HT nae amekua mvivu sana na mpenda starehe na matanuzi. Inabidi akaze na kukomaa sana na matizi.

  Let's hope kocha wa Rockets ataweza kumtumia HT vizuri.
   
 5. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  bado kijana na bado ana nguvu pambana tu mdogo wangu, amtafute Mutombo huko Houston ampe maujanja na pia tafuta stories kuhusu Ben Wallace
   
 6. haibreus

  haibreus JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 296
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  LOVE IT!kee it up Hasheem you carrying our National Flag
   
Loading...