...Jana usiku nilifanikiwa kukinasa kipindi kimoja kinachochambua movie za kibongo kwenye CLOUDS TV chini ya mtangazaji mmoja Zamaradi Mketema kama sijakosea...Na mgeni mmojawapo alikuwa...
The lyrics have upset religious groups who branded them 'a stunt' after the track was released on Friday.
Evil Queen, Gaga Sings:
"Jesus is my virtue, and Juda is the demon I cling to...
I'm just...
Hii ndio keki aliyotoa Mbonie Masimba kwa shogaye kwenye shughuli yake ya jikoni...
Picha za masupa star mbalimbali waliokuwepo kwenye shughuli hiyoooo (SINTA nae ndani....)
Curvy tennis star Serena Williams gets her beach wiggle on... but her tiny bikini barely serves its purpose
By Chris Johnson
Last updated at 11:48 PM on 17th April 2011
Comments...
Wengi wamekuwa wakijiuliza Matonya yuko wapiiii,kwa taarifa yenu ni kwamba hivi majuzi tu huko kitaani alifunguka waziii kwamba kwa sasa anapiga kitabu (anasoma) kule Kenya.
Alipobanwa kwa...
Nicolas Cage Charged Over 'Domestic Abuse'
Nicolas Cage in a photo released by The New Orleans Parish Sheriff's office
Oscar-winning actor Nicolas Cage has been charged by police in New...
...Wiki iliyopita kulitokea utata juu ya umri wa mshambuliaji hatari wa Azam FC na Taifa Stars Mrisho Khalifan Ngasa...Lakini inasemekana huyu jamaa kaoa muda mrefu,naomba kuuliza alioa lini na...
Eti Mwanamke akipenda kapenda kweli..!!!?//?? Watutafsiria mashairi ya R.kelly wakati wajua wazi kwamba sio kwelii... sasa mie na Wanaume wenzangu wa ukweli .. nasema hiviii.. usitudanganyeeee...
Nikiwa baa ya Matutina maeneo ya Mbezi beach(Tanki Bovu) Kaja jimama lakikenya limekuja na driver wake likamwambia mzee wa Kibajaj nataka gari yangu niliyokununulia kwani wewe umeamua kuwa na rozi...
Tarehe 16 April tunaadhimisha miaka 122 sikukuu ya kuzaliwa kwa yule gwiji wa zile sinema za vichekesho namuongelea Sir Charles Spencer "Charlie" Chaplin huyu bwana kwa kweli hatasaulika milele...