E-banae mambo ya Beckam haya..

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
becksmain_1337206a.jpg

Bouncing around ... Victoria and David on blue ball
becks682_1337207a.jpg

Name game ... couple discuss their options
 
  • Thanks
Reactions: BAK
DAVID and Victoria Beckham are expecting their fourth child - and she is hoping for a girl.
Nampenda sana Victoria the way anavyomkaba Becks! Ni macellebrity wachache sana wanaweza kubehave the same way as this couple

Anaonyesha upendo, na nyie watoto wa kiume mfanyage hivo hivo kwa wake zenu, mnasikia eeh.
 
Nyie mnahangaika na Beckham wakati yeye hata hana habari kama kuna nchi inaitwa Tanzania. Miafrika bwana
Hivi hakuwahi kuja kupanda Kilimanjaro alipoalikwa na Bono wakati wa changizo gani sijui ile!. Atakuwa anaijua bana, atajuaje Kilimanjaro asiijue TZ?
 
Victoria alikuwa anapendeza sana zamani,sasa anaonekana kama ana kwashakoo
 
Victoria alikuwa anapendeza sana zamani,sasa anaonekana kama ana kwashakoo

kweli..ahh sasa chek vpaja...dah vnatia kinyaa yan kitumbo km kapachikwa vle....
mtu akonde kdg lakin uskin u ahhh mi apana apana....mvuto unapotea jaman....ebu chek tena vpaja vyake...
 
kweli..ahh sasa chek vpaja...dah vnatia kinyaa yan kitumbo km kapachikwa vle....
mtu akonde kdg lakin uskin u ahhh mi apana apana....mvuto unapotea jaman....ebu chek tena vpaja vyake...

Rose huyo mwanamama mbona hafanini na Victoria?
Nadhani sio yeye
 
Back
Top Bottom