Ujumbe wa Jaffarai kwa Mh.J.Mbilinyi a.k.a Sugu

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
[h=6]Jaffarai Jaffarhymes

Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa mby ili kuzuia FIESTA, nawajua wakazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata cku 1.. Lete hoja za msingi bungeni km wenzako wakina Zitto cyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki!!![/h]
 
Hapa sijui ndo bifu lile la kuzidiwa kete juu ya udhamini wa kuishi mjini au lah!
 
Mbeya mjini haina mbunge mpaka mwaka 2015. Huyo aliyepo ni mbunge wa muziki Wa kufokafoka Ila asili yake ni Mbeya
 
UMETUMWA NA ILE RADIO YA MAWINGU AMBAPO JAMAA WANAOFANYA BIASHARA YA KUUZA NA KUKOPESHA ULE MTANDAO WA NUSU SHILINGI

hahahaa
 
Mbeya mjini haina mbunge mpaka mwaka 2015. Huyo aliyepo ni mbunge wa muziki Wa kufokafoka Ila asili yake ni Mbeya

NA WEWE UNAFANYA BIASHARA YA ULE MTANDAO WA NUSU SHILINGI KAMA WAFANYAKAZI WA ILE RADIO YA MAWINGU eeeehh
 
Ila kwa hili naona kama Mr 2 kachemka...yani yy bifu lake na Clauds ameamua kuzuia Fiesta Mbeya...agh hata kama inaua vipaji bt its not fair
 
Nitarudi punde... Endeleeni na midongo yenu ya ktto. Msitoke hapo... Sawaaaaa!?
 
NA WEWE UNAFANYA BIASHARA YA ULE MTANDAO WA NUSU SHILINGI KAMA WAFANYAKAZI WA ILE RADIO YA MAWINGU eeeehh
Nakusihi Patric Richard ufuatilie kwa makini mchango Wa huyo Sugu bungeni toka ameingia bungeni. Mimi sina uhusiano na hicho kituo cha hiyo radio inayoisema ila natoa tathmini huru. Kama unataka agombee Tena 2015 mrekebishe hujachelewa. Huna haja ya kunijibu mimi kwa hoja za utumbo
 
Ila kwa hili naona kama Mr 2 kachemka...yani yy bifu lake na Clauds ameamua kuzuia Fiesta Mbeya...agh hata kama inaua vipaji bt its not fair

Hivi unaamini kweli amezuia Fiesta isiende?

Hii ni propaganda tu hivi Fiesta imefanyika Lindi, Mtwara, Sumbawanga? huko hakuna vipaji?
 
Sawasawa alivyofanya Mr.Sugu,hao Clouds walimbania sana na walifanya hila nyingi kumkwamisha Sugu katika Career yake ya Usanii,Clouds majungu tu!!!

Na huyo Bwana Jaffarai naona hajapona Madonda ya kunyang'anywa Mpenzi na Sugu,take it easy Jaffarai,Its the survival of the fittest that is at work!! Wewe ndiyo una chuki binafsi!!!

Sugu kula good time achana na kelele za Jaffarai Sharobalo,Tetea Wanyonge Bungeni na hasa Wasanii wenzio including Jaffarai ambaye inaonekana wazi atafanya tafrija akisikia umekufa!!!
 
Hapo Jaffaray ana bifu na Mr 2, kisa katoswa na mfadhili wake wa mapenzi na fedha, so kaamua ampe dogo hasimu wake! Sugu kaza buti, fiesta ni wizi mtupu!
 
Nakusihi Patric Richard ufuatilie kwa makini mchango Wa huyo Sugu bungeni toka ameingia bungeni. Mimi sina uhusiano na hicho kituo cha hiyo radio inayoisema ila natoa tathmini huru. Kama unataka agombee Tena 2015 mrekebishe hujachelewa. Huna haja ya kunijibu mimi kwa hoja za utumbo

we KIBONDE wewe au GERALD HANDO???hahahaa jamaa amewagusa kunako hahaha;;
 
Ila kwa hili naona kama Mr 2 kachemka...yani yy bifu lake na Clauds ameamua kuzuia Fiesta Mbeya...agh hata kama inaua vipaji bt its not fair

Heee tumepata katiba na sheria mpya nini? Hivi mbunge ndio anatoa vibali vya matamasha?
 
We Jafarai kaendelee kusuka nywelu tu kama demu ndio maana demu wako alikosa cheo kutokana na tabia yako ya kusuka nywele kama umetumwa na mabwana zako wa Clouds usiwafanye TZ wajinga...Clouds kwanini wasipeleke FIESTA sumbawanga au newala au hamna vipaji kule?
 
Huyo Jaffaray ni mjinga! Na sisi humu jamvini ni kumwelewesha tu. Ninavyofahamu mimi ni kwamba tamasha kama hili linahitaji kuombewa kibali na sio kwenye ofisi ya Mbunge. Halafu taarifa inatolewa polisi kwaajili ya ulinzi na usalama. Mbunge has nothing to do with this. Asikubali kutumiwa kumchafua Sugu na kama ni hasira za kuachika, amlaumu demu wake aliyemwacha!
 
Jamani huyu mtoto wa mama anasema nini kwa uma wa wana jf? Demu kanyanganywa na fiesta hakuna kuja kwetu mbeya,,,,kiufupi hatuwataki hapa kwetu mbeya...na mkija mtaona

mimi mdau wa hip hipo
 
[h=6]Jaffarai Jaffarhymes

Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa mby ili kuzuia FIESTA, nawajua wakazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata cku 1.. Lete hoja za msingi bungeni km wenzako wakina Zitto cyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki!!![/h]

huyu naye anatafuta pakufia maana toka SHY amteme amekuwa kama mwenda wazimu, sasa anataka kujifananisha na sungu? alilofanya sugu ni sahihi kwakuwa anawawakilisha wananchi wake.
 
[h=6]Jaffarai Jaffarhymes

Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa mby ili kuzuia FIESTA, nawajua wakazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata cku 1.. Lete hoja za msingi bungeni km wenzako wakina Zitto cyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki!!![/h]

MR 2 kasema nini Bungeni hadi unakuja kuwakia kwenye mambo ya siasa na kuingiza hoja za wasanii?? Weka mambo wazi sio kufumbafumba wakati unajua wasomaji ni wengi. wengine hatujasikia kipi kaongea Mhe. Mr. 2 Mbunge wa Mbeya mjini.
 
Hivi Jaffarai huwa anaimba vitu gani?kwa kweli mi sijawahi kupenda muziki wake.Na sasa itabidi afanye matamasha mengi ili apate hela ya kula maana ATM si ishajiondoa kimtindo? kwa wadau jamaa anapigania mlo pia,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom